Jambo moja tunamfahamisha JK na sisiemu yake, hasa wabunge wa sisiemu, kuwa tabia ya kutaka kubadilika kwa jamii ni kama kijana wa kike au wa kiume kukua toka utotoni hadi utu uzima!!!! Kila hatua ina malezi tofauti ili ku-fit katika jamii!!!! Wakati muda wa hatua moja kwenda nyingine ikifika,kuzuia ni kutafuta matatizo, au kumharibu kijana!!!!!!!!!!!!!!
Ndivyo ilivyo kwa Taifa letu. Baada ya miaka 50 ya sisemu, jamii sasa inataka change!!!!!!!!!! Nchi zote zinazotuzunguka niambie ni nchi gani chama kilicholeta uhuru, kama si sisiemu peke yake, bado kinatawala???????????? By this history JK na wabunge wake na jamii yote ya wanachama wake ,(ambao zaidi ya 90% sasa ni wazee-vijana wako kwenye vyama vya upinzani, hasa CDM) kwamba kuzuia mabadiliko yaliyoanza ni kutaka kuingiza taifa hili katika vita ya wenyewe kwa wenyewe!!!!!!!!!!!!.
Hivi jana pale bungeni wabunge wa sisiemu walikuwa wanajipongeza kwa wao na rais wao kupora kuiba kura wakati wabunge wa CDM wanatoka nje kwa kukataa kusikiliza hotuba ya rais mwizi!!!!!!!!!! Yaani kwa sisiemu wizi ni sifa ya kujionea fahari???????????? Shame on you sisiemu na rais wenu mwizi!!!!!!!!!!!Vinginevyo, ulinzi wote ule ulikuwa wa nini katika mjengo kama kweli ni rais mpenzi wa watu wake??????????? Kwa majivuno na majigambo haya, rais mwizi JK ataishia kughubikwa na laana ambayo matokeo yake yatakuwa kilio na kusaga meno si muda mrefu kutoka sasa!!!!!!!!!!!!!!!!! Hakumbuki kwamba kila alipoanguka, aliyemwinua ni Mungu huyu ambaye anamwambia maneno aliyokuwa akiwaambia Watanzania!!!!!!!!!!!!!!!! Mwache aendelee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!