Watakaotangaza nia Shinyanga Mjini kukiona

Siasa za siku hizi ni uchawi mtupu. Sasa huyo bwana anataka kumiliki jimbo? Ataua wangapi? Mwisho wa siku yeye ataishia wapi?
 
binafsi natokea shy,nasikitika sana na hayo yanayosemwa vijana kanyageni mafuta mendo mdundo! uchawi ulikuwepo toka zamani lakini waganga wa sikuhizi wanavunja masharti hivyo wengi waongo.
 
Jimbo la shinyanga mjini ni CDM tupu baba usidanganyike na uchawi wa maselle atapigiwa na nani watu walishahama CCM uliza utabaini.sumu ya mageuzi iliyomwaga na mzee wetu Bob nyanga Makani enzi hizooooooo ndiyo inaibeba CDM, watu walimdharau Makani aligombea mara 2 akashindwa lakini alikuwa anapanda na mazao sasa yamekomaa.yeyote atakayegombea shy mjini kwa CDM ni poweeeeeeeeeer
 
Dada Rachel ana tatizo la miguu siku nyingi si kwamba kalogwa na masele, na tayari tatizo lake liko under control ya dr. wake.Rachel ndiyo tunamtegemea kushinda shy town kwani ni mtot wa pale wana-ccm wengi watampa kura sababu ya baba yake mzee mashishanga.Wasukuma hawajali chama kwa sasa wao cdm na wao
 
Teeeh...teeeeh.Unanikumbusha issue ya Shashu Lugeye.Huyo dogo hana uchawi wowote ni hisia tu, kinacho watafuna Shinyanga ni UKABILA tena katika vyama vyote. Hamtokaa mkapata Mbunge bora kama aka katabia hakatakwisha( bha bhabha na bha mayo). For Kanumba as CDM expected Candidate in Shinyanga Municipal sidhani kuwa his death connected to politics tuwe na imani kuwa kafa kifo kama kinavyoelezewa na ndugu zake. Marehemu huyu hakuwahi kupiga kampeni wala kujinasabaisha wazi kama MwanaCDM anayewania jimbo la Shinyanga. The so called Masele nadhani kama alikuwa anataka kudhibiti wapinzani wake was too early to get Kanumba killed in a superstition way.

Vijana mjipange mwende and no body will get killed with a natural power as somebody stipulated here.

Kaka,

Inawezekana kuna mgombea anaamua kutumia hii coincidence kuwatisha wapinzani wengine wasijitokeze

Nitumie fursa hii kuwatia Moyo makamnda wa ukweli. Kamanda Kashinje Masanja nenda kawakilishe Shinyanga Mjini..

Mwaka juzi aliibuka Mshirikina mmoja na kutisha kwamba atakayepambana na JK kwenye kinyang'anyiro atakufa ghafla.Watanzania tusikubali kuendekeza imani hizi.Zinazidi kutumaliza na matokeo yake tunaanza kutafuta viungo vya watu wenye ulemavu.Inasikitisha sana

Kamanda Kashinje Masanja,nenda Shinyanga kaka!
 
Back
Top Bottom