kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
........... may be hata dada Regia labda ni hii ishu hebu maprofessor wa kienyeji wachunguze
Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana wamaliza wabaya wake wote kwa ndumba.
[ /QUOTE]
nani alimpa umiliki wa jimbo hilo? Na aendelee kuroga tutagombea vile vile
Watanzania wanaangamia kwa kukosa maarifa. Karne hii bado uchawi unapewa nafasi kubwa namna hii hata na wasomi? Ungeniambia anawalisha sumu ningeweza kufikiri mara mbili.... lakini uchawi?
Watanzania wanaangamia kwa kukosa maarifa. Karne hii bado uchawi unapewa nafasi kubwa namna hii hata na wasomi? Ungeniambia anawalisha sumu ningeweza kufikiri mara mbili.... lakini uchawi?
........... may be hata dada Regia labda ni hii ishu hebu maprofessor wa kienyeji wachunguze
uchawi upo hata biblia imeutaja, katika jimbo la SOLWA ndugu Shashi LUGEYE alikuwa mkuu wa wilaya ya KWIMBA mwanza, mwaka 2000 akaenda kugombea ubunge akashindwa kura za maoni CCM,baada ya hapo akagombea kupitia CCM-B akashindwa uchaguzi mkuu, mbunge aliyeshinda akafa baada ya miezi mitatu, uchaguzi mdogo ukaitishwa tena, SHASHI LUGEYE akagombea tena kupitia CCM-B, akashindwa tena, mbunge aliyeshinda akafa tena,
TAFAKARI, CHUKUA HATUA
Kila mwanachama wa chama cha siasa hapo shinyanga atangaze nia ya kugombea ubunge kwa dhati ya moyo wake ili tuone picha kamili (Joke)