Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
Wanaochukulia last option wana akili mgando.Ingekuwa kazi Ingekuwa inachukuliwa last option? Hebu nifafanulie, ondoa jaziba kama mwalimu.
Wanaochukulia last option wana akili mgando.Ingekuwa kazi Ingekuwa inachukuliwa last option? Hebu nifafanulie, ondoa jaziba kama mwalimu.
Acha uongo ww sio vyuo vyote wana consider hyo mathematics. Na nina was was ata ukupitia guidebook bal umesimuliwa tu.na sasa hivi hata bachelor of art with education wanconsider mathematics so kama ulikimbia mathe o level kazi unayo maana watu wa arts weng huwa hawaipenda hesabu aisee huu mwaka huuu we acha tu
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ndo umetumaliza kabisa mkuuAcha uongo ww sio vyuo vyote wana consider hyo mathematics. Na nina was was ata ukupitia guidebook bal umesimuliwa tu.
Usiwatishe vijana wa art maana najua walioweng kwenye mathematics weupe [emoji3][emoji3]
Ualimu sio kazi wanawadanganya, mtu ukamalize degree ulipwe 716,850/= haina maana kabisa bora mkae nyumbani msubirie uhasibu ama udaktari, Ualimu ni kazi za kishenzi sana hakuna maslahi kabisa wala hadhi!
Upotoshaji ni upi hapo? Hebu elezea?
Mie nilianza maisha siku nyingi sana na kaumri kalikimbia pia, lkn sina siku nasikia hawa wasomi wamezungumzia ualimu kama kazi ya maana ama ya msingi, ndio maana nimewasaidia nakuwaambia ualimu ni ushenzi, maana wanaona kama laana wao kuwa walimu, lkn mie sina tatizo na maisha, am doing just fine.wenye hizo kazi unazozisemea zina hela hawawezi kusema maana wao siri wanaijua. kama unataka kuwa na pesa ndugu yangu waza kujiajiri lakini kama ni kutegemea mshahara, mishahara kwa Kada zilizo nyingi karibu inalingana na tofauti yake ni kidogo sana
Siku Moja jaribu kukaa na mfanyakazi Wa benki mwenye elimu ya shahada kisha ukae na mwalimu mwenye shahada, waulize kila mmoja mshahara wake harafu linganisha uone utofauti uliopo. Wanaweza wasikuambie ila unaweza kufanya kauchunguzi kako mwenyewe katakusaidia kupata ukweli kuliko Haya maneno ambayo yameshajengeka mtaaniMie nilianza maisha siku nyingi sana na kaumri kalikimbia pia, lkn sina siku nasikia hawa wasomi wamezungumzia ualimu kama kazi ya maana ama ya msingi, ndio maana nimewasaidia nakuwaambia ualimu ni ushenzi, maana wanaona kama laana wao kuwa walimu, lkn mie sina tatizo na maisha, am doing just fine.
Najua maisha, najua ukweli, lkn sioni sababu ya kuelimisha mtu ambaye hana muda wa kuelimika, mtoto kwakuwa anaenda chuo anasema atakayekosa aende ualimu, nini maana ya hiyo sentensi? Maana yake walimu hawasomi wanapelekwa tu, pia ni kama kuwa mfanyakazi wa ndani ambaye hata salary mashaka, kama hawa ndio wasomi unafikiri taifa letu litaendelea? Am fed up with the mentality of the people of my own country, our way of thinking is so poor and very shallow! Kwahiyo ninazidi kuwashauri waachane na ualimu, hauna vigezo kwa maisha yao bora.Siku Moja jaribu kukaa na mfanyakazi Wa benki mwenye elimu ya shahada kisha ukae na mwalimu mwenye shahada, waulize kila mmoja mshahara wake harafu linganisha uone utofauti uliopo. Wanaweza wasikuambie ila unaweza kufanya kauchunguzi kako mwenyewe katakusaidia kupata ukweli kuliko Haya maneno ambayo yameshajengeka mtaani
Maneno yako yananichoma sana lakini sina namna ngoja niendelee kusahihisha mitihani ya midterm mkuuNajua maisha, najua ukweli, lkn sioni sababu ya kuelimisha mtu ambaye hana muda wa kuelimika, mtoto kwakuwa anaenda chuo anasema atakayekosa aende ualimu, nini maana ya hiyo sentensi? Maana yake walimu hawasomi wanapelekwa tu, pia ni kama kuwa mfanyakazi wa ndani ambaye hata salary mashaka, kama hawa ndio wasomi unafikiri taifa letu litaendelea? Am fed up with the mentality of the people of my own country, our way of thinking is so poor and very shallow! Kwahiyo ninazidi kuwashauri waachane na ualimu, hauna vigezo kwa maisha yao bora.
Kumbe udsm na duce sasa kwan kila mwanachuo lazma akasome apo.mkuu Amon Mtekateka hiyo sio uongo kwenye hiyo programe niliotaja nimeiona wakati napitia guidebook kasome tu udsm duce wotewanataka hyo kitu
[emoji3][emoji3][emoji3]Maneno yako yananichoma sana lakini sina namna ngoja niendelee kusahihisha mitihani ya midterm mkuu