Watakaokosa first round msisahau kuomba Ualimu

Watakaokosa first round msisahau kuomba Ualimu

Tatizo tunafocus sn ajira thats Y tunajiumiza vichwa bure...umeambiwa madaktari au wafamasia wote ni matajiri au tunataka title Tuamke tuweke malengo ya kujiajiri kwa Sabab huko hakuna TCU wala NACTE pia competition ni akili yako tu...Nimawazo tu wakuu msije na [emoji379] [emoji379] maana nmewagusa weng hapa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
kuna mijitu inaamini kuwa Kada fulani Fulani zina pesa na ukiingia huko utakuwa tajiri, lakini ukweli ni kwamba kazi yoyote ya kuajiriwa kikubwa haulali njaa tu lakini kusema utakuwa tajiri sahau kama haujaamua kujikita katika shuguli zingine
 
Tatizo akili zenu zinawatuma kuwa ualimu pekee ndo kuna changamoto, huo ni uelewa mdogo Wa haya mambo. kwa taarifa yako hata hao madaktari hakuna aliyeajiriwa. ajira zimesitishwa kwa taaluma zote. jaribu kuuliza uambiwe we form six
[/QUOTE]
Duuuh mkuu kwel
 
Ualimu sio kazi wanawadanganya, mtu ukamalize degree ulipwe 716,850/= haina maana kabisa bora mkae nyumbani msubirie uhasibu ama udaktari, Ualimu ni kazi za kishenzi sana hakuna maslahi kabisa wala hadhi!
 
Kwani wewe umepata hadi uwaambie wenzio

Nyie ndio huwa mnakosa round zote mnaenda TEKU kusoma Bachelor of arts in drinking water
Umenifurahisha sana, maana kuna watu wamefaulu kwa mafeki halafu wanavyo ngwarangwara humu mitandaoni utafikiri watu kweli. Ahahaha
 
usisahau kuwa education pia mwaka huu ndio kimbilio la watu wengi mfano UDSM capaicity 1000 first round 4000 sec 3000 third 3000 UDOM CAPACITY 600 FIRST 2000 SEC 3000 N.K
Capacity 1000...!!!Hope you are kidding
 
Ualimu sio kazi wanawadanganya, mtu ukamalize degree ulipwe 716,850/= haina maana kabisa bora mkae nyumbani msubirie uhasibu ama udaktari, Ualimu ni kazi za kishenzi sana hakuna maslahi kabisa wala hadhi!
Achakupotosha .
 
We kweli una mawazo finyu sana eti ualimu ni kazi ya" kishenzi " we unafanya kazi gani mkuu ebu acha kutukana hivyo bana ...! watu wanaoandaa maprofesa , madaktari, hata maraisi huwa wanafanya ushenzi

Am a teacher ingawa nafanya kwa mda tu...! Lakini sio mazuri maneno yako...!
 
Back
Top Bottom