Watakaokosa first round msisahau kuomba Ualimu

Watakaokosa first round msisahau kuomba Ualimu

Kama tukikosa tutaomba mwakani.........
 
Kizai zai ni kwa Course zenye competition kubwa lazima watemwe weng
 
Wale science mjomba ukikosa First round Aseeh hata hiyo Education jiandae Mwenge Na hz St...
 
Niliwahi wapa hila iliyo nyuma ya huu mchakato unfortinately walipinga. Sasa kwa taarifa yenu mkidengus ns ualimu mnakula pass tu watu wanatulia nyie mnaisoma namba. Mwakani wanaume wanakuja na new criteria including first priority ni wa mwaka husika mabaki yatashughulikiwa kama nafasi zitakuwepo. Over tutasubiri 2018. Mtaisoma tu
 
Back
Top Bottom