Watakaokosa first round msisahau kuomba Ualimu

Pharmacy ya st john nursing ya st john health lab MD ya ajuco
 
Msijali vijana hata ualimu ni taaluma kikubwa jivunie utakapochaguliwa
 
Muda wowote TCU watatoa majina waliopata chuo first round mtakao kosa plz msisahau ualimu a.k.a EDUCATION
Apo ata kwa dawa, kwa haya matatzo ya kila cku ya ualim.
Kama mwaka huu tu wanahaha mpaka sasa hakuna ajira.
Alaf unanishaur huko itakuwa yale ya Abunuas
 
kimbia wale waache[emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji127]
 
usisahau kuwa education pia mwaka huu ndio kimbilio la watu wengi mfano UDSM capaicity 1000 first round 4000 sec 3000 third 3000 UDOM CAPACITY 600 FIRST 2000 SEC 3000 N.K
 
Education nako siku izi wanaomba wengi kinomaaaaaaa hasa kwa vyuo vyenye tittle hapa TZ hivyo napo sio tujifariji kiivyoo labda tukikosa first round tushauriane wakuu
 
Jaman hivi naomba kuulza kama mtu akikosa first priority kwenye zle second prioity wanakuwa wamelimit facult yaan kuna nyngne hauta ruhusiwa kujaza kabsa mfano zile za afya huwa hazjazwagi kabsa kwenye second round?
 
kweli mkuu subir tuone kwanza lakin kuna chuo cha st agustino mbeya na arusha nazan havina watu kabisaaa,jordan etc
 
Suala la kupata kuchaguliwa fani Mungu naye anatia mkono wake so its better kwa wale wanaomtegemea Mungu ndo wakati wa kufanya toba kweli kweli....!
 
Jaman hivi naomba kuulza kama mtu akikosa first priority kwenye zle second prioity wanakuwa wamelimit facult yaan kuna nyngne hauta ruhusiwa kujaza kabsa mfano zile za afya huwa hazjazwagi kabsa kwenye second round?
Vilivyojaaa vinapoteaaa mtandaoni
 
Apo ata kwa dawa, kwa haya matatzo ya kila cku ya ualim.
Kama mwaka huu tu wanahaha mpaka sasa hakuna ajira.
Alaf unanishaur huko itakuwa yale ya Abunuas

Tatizo akili zenu zinawatuma kuwa ualimu pekee ndo kuna changamoto, huo ni uelewa mdogo Wa haya mambo. kwa taarifa yako hata hao madaktari hakuna aliyeajiriwa. ajira zimesitishwa kwa taaluma zote. jaribu kuuliza uambiwe we form six[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom