Tetesi: Watakao tambulishwa kuhama vyama kujiunga CCM hawa hapa

Membe anamkosesha sana usingizi Meko

Sent from my SM-A207F using Tapatalk

Membe yupi? Huyu Membe aliyekula pesa ya mkopo wa serikali kutoka Libya? Huyu Membe ambaye wale jamaa aliowagawia pesa kidogo kutoka huo mkopo wa Libya (kina Balabou wa Morogoro) amewapeleka uhamishoni nje ya nchi ili wasichukuliwe hatua za kisheria? Halafu Membe huyo huyo eti leo amnyime mtu wa watu usingizi? Ni vizuri kujifariji lakini Membe sio tishio kwa kiongozi yeyote japo ana pesa nyingi ambazo anajua mwenyewe jinsi alivyozipata.
 
Umemtaja Mara ngapi kwenye post yako ?

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Kwa yanayoendelea huko Mwanza ,CCM lazima itapokea baadhi ya makada watakao hama vyama vyao kujiunga CCM

Miongoni mwao ni Mzee Sumaye, hiki kikao lazima kitatangaza kumpokea mzee Sumaye na Lowasa atapokelewa rasmi

Na wengineo ni ....

Ongezea wengine ambao unahisi watatambulishwa huko Mwanza wakihama vyama vyao

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamerudi nyumbani baada ya kukamilisha kazi waliyotumwa
 
😳 sasa huko CDM walikua hawajui jamaniii !!!!
Sumaye ni zero. Wote tunajua. He is such a coward. Lowassa has two faces. The duo is unfit to lead. Ni wa kukwepa kama ukoma hawa jamaa! Hawafai kuwa viongozi.
 
Membe yupi? Huyu Membe aliyekula pesa ya mkopo wa serikali kutoka Libya? Huyu Membe ambaye wale jamaa aliowagawia pesa kidogo kutoka huo mkopo wa Libya (kina Balabou wa Morogoro) amewapeleka uhamishoni nje ya nchi ili wasichukuliwe hatua za kisheria? Halafu Membe huyo huyo eti leo amnyime mtu wa watu usingizi? Ni vizuri kujifariji lakini Membe sio tishio kwa kiongozi yeyote japo ana pesa nyingi ambazo anajua mwenyewe jinsi alivyozipata.
Ikiwa alikula mlikuwa wapi kipindi hiko na alikuwa chama gani na alikuwa akifanya kazi ya nini?

Yamekuja hayo kwa sababu yupo tofauti na mawazo yenu jee angekuwa hayupo tofauti na mawazo yenu ungeandika utumbo huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa yanayoendelea huko Mwanza ,CCM lazima itapokea baadhi ya makada watakao hama vyama vyao kujiunga CCM

Miongoni mwao ni Mzee Sumaye, hiki kikao lazima kitatangaza kumpokea mzee Sumaye na Lowasa atapokelewa rasmi

Na wengineo ni ....

Ongezea wengine ambao unahisi watatambulishwa huko Mwanza wakihama vyama vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine watakao hamia Ni hawapa
1576244721797.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitabu vinaandikwa kuweka rekodi ya unafiki na upumbavu wa viongozi wa kisiasa wa Zama hizi za magufuli endeleeni kuinjoi unafiki usaliti na ujinga wenu ila muda wa kusaga meno unakuja Kama sio wewe msaliti wa mabadiliko basi uzao wako maana haiwezekani watu wajisifu kwamba usaliti wako umewaongezea mabilioni ya pesa halafu usipate malipo ya usaliti!!
 
Yani mwenyekiti wa CCM anautangazia Uma kwamba usaliti wenu wa kwenda CCM umeiongezea CCM bilioni moja na nusu halafu ipite hivihivi bila malipizi ya usaliti pumbaaaav hata ingekuwaje CCM isingekubali wasaliti wote hao waishi bila kuwatengenezea ajali na sumu za kuuwa taratibu.amini huu ni ukweli usaliti wa Aina hiyo haukubaliki popote labda USA na uk ambapo hakuna effects!
 
Mna miaka 5 ya kuinjoi ujinga wenu baada ya hapo ni majuto wote mliohama upinzani kwa kisingizio Cha kicuma chakuunga juhudi zipiiiiii? Wajinga nyie?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom