ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,820
Tunapanga kuandamana kupinga lipoti ya tume mshawishi awe frontTell me...
Atakutana na police wa samuya na wewe utakua huru ku chat JF
Tunapanga kuandamana kupinga lipoti ya tume mshawishi awe frontTell me...
Siasa tena..🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌Tunapanga kuandamana kupinga lipoti ya tume mshawishi awe front
Atakutana na police wa samuya na wewe utakua huru ku chat JF
Nimesema siasa wapi ?Siasa tena..🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
Hapana endeleeni mi kwa sasa nasubri arudi job na pop corn tuchek movies
Sawa SawaNimesema siasa wapi ?
Ushauri tu nimekupa
Kumbe, kwahiyo huyo mshangazi amekukataza kuja huku kwangu kucheka cheka ?Aaaaaah sio lakini mshangazi mazima.. ila tu ndo hvo namuita mshangazi najua ana maindi ila potelea mbali bana...
Labda anakuita hivyo kwa sababu ya mwili mdogo mdogo 😂.Kwanza mi staki kuitwa dogo ndo mana na mi namuita mshangazi
Anasema nazingua sana humu sometimes niwe seriously...Kumbe, kwahiyo huyo mshangazi amekukataza kuja huku kwangu kucheka cheka ?
Labda anakuita hivyo kwa sababu ya mwili mdogo mdogo 😂.
Anasema nazingua sana humu sometimes niwe seriously...
Amekuweza 🤭.nikijibizana nae anasema nina NIDA yako tapiga picha nitume chitchat
Taharuki kila mahali.Here I am kungwi 😁😋🥰
Wewe unao wengi humu.Ndio nipo hapa nasubiri mtetezi wangu😅
Samia mwenyewe ana ulinzi kila kona lakini anaonwa, sembuse si'raia!Achana na hayo mawazo, huwezi kuniona mkuu!
Kunyegeka napo ni sehemu ya maisha 😂
Uko sahihi, sina ukali wowote ndugu yangu, mimi ni kabibi flani tu kalikojichokea 🤭
Samia mwenyewe na ana ulinzi kila kona lakini anaonwa, sembuse si'raia!
Kumuona mtu ni starehe pia, ndiyo maana kuna watu wanauza sura wakielewa kabisa kuwa, kukutazama mtu hunufaika.
Endelea kuamini hivyo .... uko floor ya ngapi?...Kabibi flani... Ninajua umri ni cheo, lakini hicho cheo chako ni kidogo kwangu.
Ya 5.
Shikamoo!Ya 5.
Huyo mtu mzma mwenzangu anatoa ishara gani'apo?
Ya kunyamaza 🤐Huyo mtu mzma mwenzangu anatoa ishara gani'apo?
Maraaba!Shikamoo!
samahani kwa kuingilia, naomba kuulizaMaraaba!
Usiitumue sana hiyo salamu kunisalimia mkuu inanibana na kuninyima baadhi ya stahiki zangu.
Miaka inaposonga hufikia hisia kugawanyika kutokana na jinsia.samahani kwa kuingilia, naomba kuuliza
hivi hadi watu wakubwa tuseme nyie baba zetu huwa mnapata ile ham ya kudinyana na mkinyimwa mnaumia? au umri ukisonga na hisia huwa zinapotea
Naheshimu watu wazima, salamu nayo ni stahiki yako!Maraaba!
Usiitumue sana hiyo salamu kunisalimia mkuu inanibana na kuninyima baadhi ya stahiki zangu.