Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,892
- 23,122
Mkuu tuwe wakweli, unaponisalimia 'shikamoo' huoni kuwa unanitengenezea wigo wa kunizuia kukutangazia dhamira zangu za dhati hata kama ninazo?Naheshimu watu wazima, salamu nayo ni stahiki yako!
Kisaikolojia hasa sisi waafrika ni ngumu sana kumgeuzia kibao mtu aliyeonesha unyenyekevu kwako.
Haijawahi kukutokea