Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,443
- 872,038
Acha umbea[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji87] [emoji85] [emoji23]Ndo kusema?
Acha umbea[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji87] [emoji85] [emoji23]Ndo kusema?
Ndo maana kwenye post iliyotangulia nilisema hii ishu haina umuhimu sana.
Ila kama wewe ni wa kiume [maana imani pekee haiwezi kufanya kitu kiwe kweli],
Jitahidi kujihamini kwa kusimama mwenyewe, usitegemee mitazamo ya wengine juu yako.
Nimewahi kukuambia uwaone psychiatrists wakusaidie tatizo lako ila nahisi ulidharau ule ushauri.Risala kampe mamako.
Mimi nimeeleza kwa upande wangu.
Kama hutaki, acha.
Amini unachotaka kuamini.
After all, your fiction, delusions, and hallucinations about me are not my reality anyway.
So go ahead and keep imagining.
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimewahi kukuambia uwaone psychiatrists wakusaidie tatizo lako ila nahisi ulidharau ule ushauri.
Si ndio wewe uliyewahi kuja humu kuomba ushauri juu ya ugonjwa uliokuwa unakusumbua wa Oedipus Complex?.....Ugonjwa ambao mtoto wa kiume anamtamani Mama yake mzazi kingono kiasi cha kumchukia Baba yake.
Wewe una matatizo ya kiakili na kihisia yanayokusumbua.Sihitaji kumfahamu mtu ili kujua mental status yake maana hizi post ni uwakilishi wa akili za watu.
Jitahidi sana kukabiliana na issue ndogo ndogo kama hizo bila kusababisha usumbufu.
Naona umegusa kiini cha tatizo lako ''Seeking attention''Teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ona sasa unavotumia nguvu nyingi kujiaminisha mambo kuhusu mimi.
Huenda wewe ndo unahitaji msaada wangu maana naona unapenda sana attention ninayokupa humu.
Usipoipata huwa unakosa raha kabisa hadi unaamua kunitafuta...kama siyo kuninukuu basi utanitaja ili tu nikuone halafu nikujibu.
Mhanga wa Ngabu derangement syndrome wewe.
Pole sana. I'll take care of you....okay?
So what do you want from me? You want me to give you a cookie?Naona umegusa kiini cha tatizo lako ''Seeking attention''
Kwa upeo wako wewe unadhani kila mtu ni attention seeker.Attention za fake ID ni za kazi gani?
Halafu attention yako ina mchango gani kwangu?
Binafsi sihitaji attention za watu ili niwe mimi,....Jitahidi kuwa self motivated na sii kufanya vituko kama kujipakazia kifo ilimradi tu kupata attention za watu.
Mwee sijasema kitu mama napita tuEti umesema???????
We!!!!
Kwamba unilipe ile hela yangu.Ndo kusema?
I don't want a thing of you.So what do you want from me? You want me to give you a cookie?
A chocolate chip cookie?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwee sijasema kitu mama napita tu
Basi, uwahi kurudi.Mwee sijasema kitu mama napita tu
I don't want a thing of you.
You can get yourself out of my sight.
Teh teh teh...raha sana aisee.Naona watu wanatoana mapovuuuuuuuuuu😡😡😡😡😡😡😡😡😡.............................................
jf raha sana
Umeenda church leo?Acha umbea[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji87] [emoji85] [emoji23]
We mwana wewe huishi kudai! ChaaKwamba unilipe ile hela yangu.
Mkuu itabidi akulipe faini ya usumbufu hawezi kukusimamisha kizimbani halafu analala mbeleTeh teh teh...raha sana aisee.
Hilo junya limeniita lenyewe humu halafu linaniambia eti nipotee.
Nimelikamua hadi matundu yote yanatoa povu la Foma.
Ahahahahahaaa....pure hilarity[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alitaka tu attention yangu huyo.Mkuu itabidi akulipe faini ya usumbufu hawezi kukusimamisha kizimbani halafu analala mbele
Nawe si ulipe?We mwana wewe huishi kudai! Chaa