Watafuta kuthaminiwa (Attention seekers)

I haven't a clue. That was over 8 years ago if I'm not mistaken.

Na ili kuielewa vizuri inabidi upate context nzima ya wakati ule kuhusu rumored death ya Balali na michango yangu kuhusu hicho kifo.

Good luck on that.

Ila nacheka kwa dharau na dhihaka watu kushindwa kung'amua point yangu na kukimbilia kuhitimisha kimakosa.

Kwanza ukiisoma tu hata thread yenyewe utaona kabisa kuwa wala sikuwa serious....

But don't take my word for it....find it and read it for yourself.

Ulishagaona wapi mtu aliyekufa anajitangaza mwenyewe kuwa amekufa?

Maana wala sikutumia alternate ID....nilitumia hii hii ID ya NN....

So go figure!

The joke was right there.....
Makosa ya kiuandishi ni jambo la kawaida,

Kinachonishangaza hapa JF mtu akikosea Kiswahili hakuna atakayejisumbua naye[mbali na FF].

Lakini akikosea Kiingereza, ndo utajua bado mzungu anaishi kwenye akili za watu.

Mimi makosa natenda kila wakati ninapotumia lugha husika.Hata Kiswahili huwa nakosea sana.

Hata wewe mwenye huwa unatenda makosa mengi tu, moja wapo ni kwenye hii post niliyoku-quote.

Ulishagaona ndo lugha gani hiyo?
 
Makosa ya kiuandishi ni jambo la kawaida,

Kinachonishangaza hapa JF mtu akikosea Kiswahili hakuna atakayejisumbua naye[mbali na FF].

Lakini akikosea Kiingereza, ndo utajua bado mzungu anaishi kwenye akili za watu.

Mimi makosa ntenda kila wakati ninapotumia lugha husika.Hata Kiswahili huwa nakosea sana.

Hata wewe mwenye huwa unatenda makosa mengi tu, moja wapo ni kwenye hii post niliyoko-quote.

Ulishagaona ndo lugha gani hiyo?

Bottom line is wewe ni ju.ha kama jiwe.

Huwezi kutofautisha utani na pale mtu anapokuwa anamaanisha jambo.

Ju.ha kama jiwe wewe.

Lione kwanza.....

upload_2016-12-18_17-0-17.jpeg
 
Bottom line is wewe ni ju.ha kama jiwe.

Huwezi kutofautisha utani na pale mtu anapokuwa anamaanisha jambo.

Ju.ha kama jiwe wewe.

Lione kwanza.....

View attachment 447967
Inaonekana mapovu yako yapo kooni, tension ndogo inasababisha uyateme kwa haraka.

Ule uzi ulioleta [Tena nimekumbuka lilikuwa jukwaa la siasa na sii MMU maana hadi kina Mzee mwanakijiji walikuwa wanahimiza watu wasipaniki hadi uhakika upatikane sababu baadhi walishaanza kupost RIP Nyani Ngabu] haujawahi kukanusha ama kuweka sawa kwamba ulikuwa utani.

Pengine kuna wajumbe walishakufa huku wakijua ulishakufa.

Kati ya matukio mengi ya JF ninayoyakumbuka,moja wapo ni lile la taarifa ya kifo chako[ingawa ulikuwa ni upumbavu wako]

Sasa leo nimekuita uje utuambie kwanini ulikufa na kufufuka?....wewe umeanza kutema mapovu na kutukana.Kwani kulikuwa na ubaya gani kama ungeweka clear mapema kwamba ulikuwa ni utani?

La mwisho, JF ni user generated content site, kila mtu anapost anachojisikia/taka.
Kwahiyo usiwe unaweka hisia kwenye post[ambazo ni matakwa ya watu] la sivyo utajikuta unaingia kwenye shida zisizo na msingi kama kukasirika, kuchukia ama kufa moyo, na matokeo yake itakubidi uanze kufanya mambo ya ajabu ili kupata attention na approval za watu ili kujirudisha morali.
 
Hahaaaaa wewe uko obsessed na mimi.

That's a fact.

Keep obsessing. Sucker.
 
Hahaaaaa wewe uko obsessed na mimi.

That's a fact.

Keep obsessing. Sucker.
Hicho ndicho unachoweza kufanya kwa ufasaha.

Siyo mbaya maana wanasema ukishindwa kufanya unachotaka fanya unachoweza.

Niwe obsessed na wewe kwani wewe ni demu wangu?.....jiheshimu bro!
 
Wewe uko obsessed na mimi na huo ndo ukweli na hauwezi kujizuia.

Huwezi kabisa kujizuia kuwa obsessed na mimi.

I pull your strings, sucker.

Na hii attention niliyokupa hapa naona imekamilisha kabisa Jumapili yako.

Bila ya shaka nikikwambia bong'oa utabong'oa na nikikwambia bweka kama mbwa utabweka.

Keep obsessing.
 
Attention ya kazi gani?
Si nilishakwambia utoweke mbele ya macho yangu?
Nadhani starehe yako ipo kwenye kukotiwa tu ndo maana hadi sasa hivi upo.
 
Nimewahi kukuambia uwaone psychiatrists wakusaidie tatizo lako ila nahisi ulidharau ule ushauri.
Si ndio wewe uliyewahi kuja humu kuomba ushauri juu ya ugonjwa uliokuwa unakusumbua wa Oedipus Complex?.....Ugonjwa ambao mtoto wa kiume anamtamani Mama yake mzazi kingono kiasi cha kumchukia Baba yake.
Wewe una matatizo ya kiakili na kihisia yanayokusumbua.Sihitaji kumfahamu mtu ili kujua mental status yake maana hizi post ni uwakilishi wa akili za watu.
Jitahidi sana kukabiliana na issue ndogo ndogo kama hizo bila kusababisha usumbufu.
Oedipus complex siyo ugonjwa ni stage anayopitia mtoto katika makuzi yake.
 
Siyo growth stage mkuu ni psychological disorder.
Kama nawe ulipitia basi jua lilikuwa tatizo.Uliza kwa watu utaambiwa hawakupitia hiyo hatua.
Mtoto wa kiume kumtamani Mama yake kingono au wa kike kwa Baba yake si jambo la kawaida ni natural disgrace.
 
Nimekwambia bong'oa....au huelewi?
Nilijua tu utakoti na kudhihirisha unavyofikiri kwa kutumia makalio.

Sasa kwa kuwa umedhihirisha kwamba unawaza kwa kutumia makalio si jambo jema kuendelea kulumbana na wewe la sivyo nitakuwa nimekithaminisha kichwa changu sawa na matako yako.

Kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya kuliko huo upuuzi.
 
Inama.....
 
Siyo growth stage mkuu ni psychological disorder.
Kama nawe ulipitia basi jua lilikuwa tatizo.Uliza kwa watu utaambiwa hawakupitia hiyo hatua.
Mtoto wa kiume kumtamani Mama yake kingono au wa kike kwa Baba yake si jambo la kawaida ni natural disgrace.
Mkuu Kwenye psychology hii ni stage kulingana na Sigmund Freud alivyoainisha. Kwa mwanamke huitwa electra complex inakua kinyume na oedipus.

Mtoto atamchukulia mzazi ambaye ni jinsia yake kama rival ili kushinda affection ya mzazi wa jinsia tofauti.
 
Mwenzio keshajiaminisha kuwa ni psychological disorder kwa sababu tu mimi niliwahi kuleta mada ya kuhusu mimi kuwa na oedipus complex.

Ukimwambia na kumweleza kuwa ni hatua katika makuzi haelewi.

Unampigia mbuzi gitaa.
 
Kwanza kabisa kwenye Freudian theory hiyo issue imeelezwa kama 'belief'.
Freud hakuwa na facts ndo maana wanasema 'Freud believed....'' Baadae researches zilikanusha baadhi ya imani zake juu ya Psychology.

Kitu kingine siyo stage ya kila mtu lakini kama muhanga amekumbana na OC, ni kati ya miaka 3-6.

Matokeo ya hii issue yanaweza kudumu hadi ukubwani ila yatakuwa na form tofauti, ni aidha victim am-date mtu mwenye tabia kama za yule mzazi au awe homosexual lover.

Ila jambo la msingi siyo 'Growth stage' mkuu.....uliza watu kama walipitia hiyo hatua uone jinsi watakavyokushangaa.
 
Kata viuno....au huna kibwebwe?
 
Duh! Tunaishi na mizimu humu....Sitoi pole yangu mpaka nione picha.
 
Matokeo ya hii issue yanaweza kudumu hadi ukubwani ila yatakuwa na form tofauti, ni aidha victim am-date mtu mwenye tabia kama za yule mzazi au awe homosexual lover.

Ila jambo la msingi siyo 'Growth stage' mkuu.....uliza watu kama walipitia hiyo hatua uone jinsi watakavyokushangaa.
Umesema sawa sawa, kutopitia hatua fulani katika makuzi kunakupa effect fulani ukubwani.

Darasa nililokua wengi tulichalenji hii kwa kusema mbona sikuipitia na kitu kama hicho lakini hii steji dalili yake inaambatana na ke kutamani kua na contact na ub00 wakati me anatamani kua na contact na kvma.
Around huo umri unausema ndiyo watoto utaweza kuwafuma wakiwekana na kilichowasukuma ni hiyo hatua.

Ila kwa hii chalenji uliyonipa ngoja niongeze maarifa kwanza kwa mlango huo.
 
Mwenzio keshajiaminisha kuwa ni psychological disorder kwa sababu tu mimi niliwahi kuleta mada ya kuhusu mimi kuwa na oedipus complex.

Ukimwambia na kumweleza kuwa ni hatua katika makuzi haelewi.

Unampigia mbuzi gitaa.
Nimeifuata link uliyotoa nimesoma yote naona aliyekuelewa ni mdau anaitwa Nemesis.

Wengine walipongeza kifo chako, mmoja kila akifuatilia anaambiwa hakuna shooting iliyotokea.
Mwanakijiji anashauri wadau wasipuuze.

Nimecheka kwa mchangiaji wa kwanza. Akauliza mbona umepost wewe mwenyewe? Akaunganisha na picha inasema 'SMELLS LIKE BULLSHIT'.
 
Back
Top Bottom