ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,513
- 15,521
Haina shida mkuu.Umesema sawa sawa, kutopitia hatua fulani katika makuzi kunakupa effect fulani ukubwani.
Darasa nililokua wengi tulichalenji hii kwa kusema mbona sikuipitia na kitu kama hicho lakini hii steji dalili yake inaambatana na ke kutamani kua na contact na ub00 wakati me anatamani kua na contact na kvma.
Around huo umri unausema ndiyo watoto utaweza kuwafuma wakiwekana na kilichowasukuma ni hiyo hatua.
Ila kwa hii chalenji uliyonipa ngoja niongeze maarifa kwanza kwa mlango huo.
Kuna article moja currently updated kama nitaiona nitakurushia nawe uipitie.