Mie nakukatalia ambao Ni masikini ndio wanaojilazimisha wakanunue 10k badala ya 1.5k per lite,ili wafosi kuonekana na wao Ni matajiri. Going outside buying expensive cigarettes doesn't make you rich. Yaani anayo Ile inadequacy,anatafuta external validation ya kuwa Ana hela,anapiga picha anapost mitandaoni japo kufosi appreciation from public. Ila tajiri anaweza akakaa hata sehemu akanywa ya buku jero Mana hahitaji validation yoyote tayari yeye Yuko whole, satisfied, adequacy,hahitaji external validation kuwa anayo hela. Kawaida mwenye nacho anaishi Kama Hana kitu, asiyenacho anaishi Kama anacho,analazimisha kuwa Ana kitu mkuu kumbe Hana kitu, masikini yupo radhi achukue kipato chake anunue simu ya 800k+ ili kutafuta Ile external validation aheshimiwe kuwa na yeye Anazo ili asidharaulike,ananunua saa,mavazi ya gharama yaani kutaka Ile attention ya nje ya kuwa Yuko poa,Sasa uliza kipato chake anaingiza labda milioni kwa mwezi Ila Ana simu ya milioni tatu,akakopa gari analipa mkopo japo kulazimisha standard ya maisha fulani.cheki bill gate,dogo wa fb muda wote Ni tisheti akavaa akina Elon Musk. Remember smallest/ weakest dog barks loudest. Debe tupu linapiga kelele mno.wanapiga picha wakiwa airport Mana sio kawaida yao so Ina Mana kitu Ni kigeni kwao. Tafuta mjukuu wa Trump Kama akipanda ndege anapiga picha mkuu anapost mtandaoni. Masikini anahonga mno,kumbuka mo hahongi yaani demu inamtafuta ili aliwe naye japo aoshe nyota,hivi una uhakika Ronaldo anahonga kweli ama wanawake ndio wanaomsumbua kuwa akawale.
So tajiri anafanya kitu Wala Hana Hana ya ku brag brag Mana he just lives her lives, Ni Kama Simba akiangusha nyumbu hapigi kelele kwa wenzake Mana Ni kawaida yake kuua. Ni Kama upige chafya uanze kujisugua kuwa nimepiga chafya no is just simply your Normal action mwili wako unafanya ili uishi.
Ujue tofauti ya mnyama na binadamu.
Binadamu inabidi atembee akitangaza Ni kwa Nini akafanya Jambo fulani na kutafuta sababu Ila wanyama just simply lives their life mkuu bila ya kupiga kelele.
Hizi Ni tofauti za our beliefs