Wataalamu wa utorrent naombeni msaada hapa

Wataalamu wa utorrent naombeni msaada hapa

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
6,417
Reaction score
12,987
Niende kwenye mada moja kwa moja wakuu

Napakua movie kwa kutumia Utorrent katika pc sasa kuna baadhi ya movie zikiingia nashindwa kuziplay kabisa sijui shida ipo wapi

Picha

Movie ambazo nikizifungua hazigunguki zinaleta mafile kama haya baada ya kuiclick kule kwenye app ya utorrent

20200828_173400.jpg
 
Play hilo file la .MPEG2
.srt ni subtitle file
 
Umetumia site ipi kupakua..? Jaribu kubadiri format ya hizo muvi..
Huwa natafuta torrent link google ya movie ninayoitaka mkuu

Na vp hapo kubadili format sijakuelewa mkuu
 
tumia hii hapa 1337x.to halafu ukishachagua movie yako,chagua magnet download kisha click hapo,itakufungulia utorrent malizia kwa kukubali halafu itaanza kudownload
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom