Wataalamu wa mtandao naomba msaada hio clip

Wataalamu wa mtandao naomba msaada hio clip

Mributz

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
257
Reaction score
629
Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau

Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau

Tumia y2mate,
Kwanza kabisaaa icopy hiyo Link...

Ingia kwenye chrome andika y2mate then ikifunguka ipaste
 
Kama una application yoyote ile ya kudownload music au videos kwenye simu yako kama vidmate na snaptube, copy link ya hiyo clip then kaipaste vidmate au snaptube then download.
 
Back
Top Bottom