skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,390
Vipi gas ukitumia mtungi wa kg 15 inatumia mda gani kwa matumizi ya kalangiza chap songa ugali /wali?Nimepata mkuu wanauza reja reja 90 mpk 1k.
Nimepata la Technosonic.
Vipi gas ukitumia mtungi wa kg 15 inatumia mda gani kwa matumizi ya kalangiza chap songa ugali /wali?Nimepata mkuu wanauza reja reja 90 mpk 1k.
Nimepata la Technosonic.
Majiko mazuri sana haya
Mkuu, hii brand inaweza kuwa nzuri zaidi ya Von hot point na west point?
mkuu sijakuelewa, hiyo question mark inaashiria kuwa unaniuliza swali au?
Nunua NIKAIWakuu, naomba kujua ni aina gani ya jiko la gesi ambalo ni zuri kimatumizi na imara.
Naomba nielekeze ulikonunua MkuuNimepata mkuu wanauza reja reja 90 mpk 1k.
Nimepata la Technosonic.
Nimepata mkuu wanauza reja reja 90 mpk 1k.
Nimepata la Technosonic.
Funguka mkuu ubaya wake ni nini? tusije tukaingia chaka.Hayo lina Nikai ovyk sana me siyapendi kabisa
Vipi uji wa ugali ukimwagikia? utasafishaje izo nyavu?Sorry wakuu sikua hewani nitatuma picha muone
Sahihi Mkuu, naomba kujua maana nategemea kununua kati ya hizo.
Kama hutaki ubishoo we nunua nikai me lakwangu lina miaka mi5 bado zima kabsaaaWakuu, naomba kujua ni aina gani ya jiko la gesi ambalo ni zuri kimatumizi na imara.
Sh ngap maana dukani laki 3Mwenye kuhitaji jiko la gas plate 4 lenye Oven (used) kwa bei chee ni pm.
![]()