Wataalamu wa kuingiza magemu ya PS kwa flash disc

Jamaldini kassimujr

Senior Member
Apr 13, 2017
140
98
Mi ni muhitimu wa kada ualimu.

Nimemaliza chuo mwaka 2019 nipo tuu mtaani.

Napatikana mkoani nimeona kuna fursa ya kuweka games hapa tunapoishi, nipo tayari kuwa mwanafunzi wa hii kitu na ikiwezekana mwisho wa hii wiki ninaweza kufanya safari ya Dar.

Kama kuna mtaalamu wa hivi vitu nipatie location nitakufuata. Inawezekana kabisa ikawa ndio hatua yangu ya kwanza katika maisha ya mtaa.
 
Mi ni muhitimu wa kada ualimu.
Nimemaliza chuo mwaka 2019 nipo tuu mtaani
Napatikana mkoani nimeona kuna fursa ya kuweka games hapa tunapoishi, nipo tayari kuwa mwanafunzi wa hii kitu na ikiwezekana mwisho wa hii wiki ninaweza kufanya safari ya Dar.

Kama kuna mtaalamu wa hivi vitu nipatie location nitakufuata. Inawezekana kabisa ikawa ndio hatua yangu ya kwanza katika maisha ya mtaa.
YouTube
Google
 
Back
Top Bottom