Wadau nazani mko njema katika mihangaiko ya kimaisha ikiwa ni pamoja na vyuma kukaza.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuomba msaada wa mambo ya research.
Mimi ni third year hapa UDSM so, kuna koz ya PH346 ambayo inahusu mambo ya Physics Projects. Kwa kweli hawa Supervisors wetu hawana msaada kwa lolote zaidi ya vitisho.
Nilikuwa nimeshachagua title ya Proporsal, ambayo ni '' DESIGNING AN LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC USE''
Sasa hapa kuna vitu vinanichanganya kwa kuwa huyu Supervisor amesema heading iwe hiyohiyo lakini tuifanyie Modification. Naomba msaada wa mambo yafuatayo.
1.Jinsi ya kuimodify hiyo title ili iweze kusound
2.Jinsi ya kustate problem ya hiyo title,
3.Namna ya Kustate statement of the problem(How to write statement of the problem)
4.Jinsi ya kuandika proporsal at all.
So, kwa mwenye screen short naomba anitumie au msaada mwingine wowote ule.
Napenda kuwasilisha.