Wataalamu wa kuandika research

nkobhe255

JF-Expert Member
Sep 26, 2017
234
292
Wadau nazani mko njema katika mihangaiko ya kimaisha ikiwa ni pamoja na vyuma kukaza.

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuomba msaada wa mambo ya research.

Mimi ni third year hapa UDSM so, kuna koz ya PH346 ambayo inahusu mambo ya Physics Projects. Kwa kweli hawa Supervisors wetu hawana msaada kwa lolote zaidi ya vitisho.

Nilikuwa nimeshachagua title ya Proporsal, ambayo ni '' DESIGNING AN LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC USE''

Sasa hapa kuna vitu vinanichanganya kwa kuwa huyu Supervisor amesema heading iwe hiyohiyo lakini tuifanyie Modification. Naomba msaada wa mambo yafuatayo.

1.Jinsi ya kuimodify hiyo title ili iweze kusound
2.Jinsi ya kustate problem ya hiyo title,
3.Namna ya Kustate statement of the problem(How to write statement of the problem)
4.Jinsi ya kuandika proporsal at all.

So, kwa mwenye screen short naomba anitumie au msaada mwingine wowote ule.

Napenda kuwasilisha.
 
Utasemaje supervisor hana msaada wakati unaomba ushauri wa jinsi ya kumodify title? Kwa kile kidogo ninacho fahamu mara nyingi kama si zote utafiti unatakiwa ujibu swali au maswali fulani. Hivyo ungeanzia hapo-wewe unataka ujibu swali/maswali gani? Pili ujiulize kwa nini unafikiri hilo swali ni muhimu(tulipangie resources human na vinginevyo)? Ukifikia stage hiyo nafikiri wataalamu wataweza kukusaidia zaidi.
 
Ok, kwa kweli msaada wao ni mdogo sana na mara nyingi ni vitisho kuliko kazi.

Nashukuru kwa mchango wako bro, ila mimi nilitaka nisolve tatizo la '' unnecessary power wastage in domestic wiring '' lakini nashindwa kuendelea kwa mengine.
 
Hiyo design yako itakuwa simple, low cost, power saver au more efficient.....so iweke katika hali ya kuvutia mtu aone umuhimu wa hiyo research au project.
So unaweza kuiweka isomeke DESIGNING OF LOW COST LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC USE.
ni mawazo yangu tuu
 
Na assume utakachofanya siyo a typical research problem but probably solving a practical problem. I am no expert at all but jaribu title hii au kama hii '' DESIGNING AN LDR CIRCUIT to overcome un-necessary power wastage in domestic wiring'' inaonyesha unataka kufanya nini na kwa sababu gani.
Sasa kitu cha kufanya baada ya hiyo title (ambayo kwa hivyo ilivyo ni working title na unaweza kuiboresha mbeleni, hivyo isikufanye upate paralysis) ni kwanza kuonyesha kuwa hilo tatizo unalolisema kweli lipo na je huletwa nini. Then onyesha kuwa tatizo hilo lina umuhimu gani na je linaweza kutatuliwa kwa elimu iliyokuwepo?
Baada ya hapo utaelezea wewe unategemea kufanya nini kulitatua. Mwisho utaweka mahitaji yako kwa kazi hiyo na timeline ya jinsi utavyo tumia muda ulio kuwa nao ili umalize kwa wakati.
Pia ni vizuri kupitia project za waliotangulia na kuona wali ziandika vipi ili upate format ya kutumia (unaweza kupata haya idarani au library). Hapa ni mawazo yangu kama nilivyosema sio mtaalamu wa masomo yako. Pia check na wanafunzi wenzako na ma T.A wenu wanaweza kusaidia kama supervisors wana shida. Pole kwa hilo. Hopefully wajuzi watakusaidia zaidi.
 
Daaaa, safi sana bro na nashukuru sana. Vipi kuhusu jinsi ya to write the statement of the problem?
 
Haya ndo mambo sasa bro, kwa mawazo haya nadhani nitafanikiwa.
 
Halafu kuna wadau wanazingua humu kwenye uzi huu, hawajui kama ni muhimu kwangu. Hili nalisema kwa sababu naona Viewers ni wengi kuliko Coments na replies, ikimaanisha kuna watu wanapita kimya, SIO VIZURI JAMAN
 
Wadau nazani mko njema katika mihangaiko ya kimaisha ikiwa ni pamoja na vyuma kukaza.

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuomba msaada wa mambo ya research.

Mimi ni third year hapa UDSM so, kuna koz ya PH346 ambayo inahusu mambo ya Physics Projects. Kwa kweli hawa Supervisors wetu hawana msaada kwa lolote zaidi ya vitisho.

Nilikuwa nimeshachagua title ya Proporsal, ambayo ni '' DESIGNING AN LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC USE''

Sasa hapa kuna vitu vinanichanganya kwa kuwa huyu Supervisor amesema heading iwe hiyohiyo lakini tuifanyie Modification. Naomba msaada wa mambo yafuatayo.

1.Jinsi ya kuimodify hiyo title ili iweze kusound
2.Jinsi ya kustate problem ya hiyo title,
3.Namna ya Kustate statement of the problem(How to write statement of the problem)
4.Jinsi ya kuandika proporsal at all.

So, kwa mwenye screen short naomba anitumie au msaada mwingine wowote ule.

Napenda kuwasilisha.
OKOA MUDA, OKOA PESA VILEVILE PATA UTAALAMU ZAIDI KWA KUHUDUMIWA NA OPTAE Co. Ltd

Tunatoa huduma zifuatazo.

1. Preparation of concept note for academic researches.

2. Preparation of academic research proposals.

3. Preparation of research findings and report writing.

· Data coding.

· Data entry.

· Data analysis.

· Report writing.

4. Coaching a researcher with knowledge, techniques and skills to defend and present his/her research work.

5. Clearing plagiarism.

OPTAE COMPANY LIMITED

P.O.BOX 6075

KIWANJA CHA NDEGE/PLOT NO.215

MOROGORO-TANZANIA.

MOBILE: 0766729127/0713935652
 
Kwahiyo bro kwenye hili swala langu litagharimu kiasi gani? Na maelewano yanakuwaje?
 
Na assume utakachofanya siyo a typical research problem but probably solving a practical problem. I am no expert at all but jaribu title hii au kama hii '' DESIGNING AN LDR CIRCUIT to overcome un-necessary power wastage in domestic wiring'' inaonyesha unataka kufanya nini na kwa sababu gani.
Sasa kitu cha kufanya baada ya hiyo title (ambayo kwa hivyo ilivyo ni working title na unaweza kuiboresha mbeleni, hivyo isikufanye upate paralysis) ni kwanza kuonyesha kuwa hilo tatizo unalolisema kweli lipo na je huletwa nini. Then onyesha kuwa tatizo hilo lina umuhimu gani na je linaweza kutatuliwa kwa elimu iliyokuwepo?
Baada ya hapo utaelezea wewe unategemea kufanya nini kulitatua. Mwisho utaweka mahitaji yako kwa kazi hiyo na timeline ya jinsi utavyo tumia muda ulio kuwa nao ili umalize kwa wakati.
Pia ni vizuri kupitia project za waliotangulia na kuona wali ziandika vipi ili upate format ya kutumia (unaweza kupata haya idarani au library). Hapa ni mawazo yangu kama nilivyosema sio mtaalamu wa masomo yako. Pia check na wanafunzi wenzako na ma T.A wenu wanaweza kusaidia kama supervisors wana shida. Pole kwa hilo. Hopefully wajuzi watakusaidia zaidi.
Title inatakiwa iwe straight isiwe na maneno ya kinyume au kukanusha (mf. un-necessary). Ukiondoa hilo neno kwa kuweka neno ambalo ni positive grammatically utajikuta hata neno "overcome" (japo halikua neno sahihi kama "avoid") nalo litakua limeondoka na title yako inakua precise. Pia neno "AN" kama limewekwa tu kama article "an" naona kama lipo kimakosa kwakua neno LDR linaanza na consonat na sio special case kwamba litumie "an". Hata kama article "AN" ipo kihalali gramatically bado kwenye title ya research hua article zinatakiwa kuepukwa ili kwakua hazibadili maana ispokua zinafanya title inakua simple.

Hapo mimi ningeshauri badala ya "DESIGNING AN LDR CIRCUIT to overcome un-necessary power wastage in domestic wiring"

>>>iwe ....DESIGNING POWER EFFICIENT LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC WIRING

>>> au
DESIGNING LOW COST WIRING LDR CIRCUIT

Sjui mambo ya science
 
Daaaa, safi sana bro na nashukuru sana. Vipi kuhusu jinsi ya to write the statement of the problem?
Unauliza kila kitu Ndio kusema wewe hujui chochote? Unafanyaje kitu usichokijua.Ingia net tafuta literature
Kwa mwendo huo unategemea supervisor akupe ushirikiano kweli!! supervisor kagundua uko empty anakusubiri ujipange, hawezi kukufanyia research atakuharibu badala ya kukujenga
 
Title inatakiwa iwe straight isiwe na maneno ya kinyume au kukanusha (mf. un-necessary). Ukiondoa hilo neno kwa kuweka neno ambalo ni positive grammatically utajikuta hata neno "overcome" (japo halikua neno sahihi kama "avoid") nalo litakua limeondoka na title yako inakua precise. Pia neno "AN" kama limewekwa tu kama article "an" naona kama lipo kimakosa kwakua neno LDR linaanza na consonat na sio special case kwamba litumie "an". Hata kama article "AN" ipo kihalali gramatically bado kwenye title ya research hua article zinatakiwa kuepukwa ili kwakua hazibadili maana ispokua zinafanya title inakua simple.

Hapo mimi ningeshauri badala ya "DESIGNING AN LDR CIRCUIT to overcome un-necessary power wastage in domestic wiring"

>>>iwe ....DESIGNING POWER EFFICIENT LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC WIRING

>>> au
DESIGNING LOW COST WIRING LDR CIRCUIT

Sjui mambo ya science
Daaa, wewe ni kiboko bro make sio kwa haya ma ushauri, nashukuru sana.
Nisaidie jinsi ya to write the statement of the problem, hapo inakuwaje?
 
Unauliza kila kitu Ndio kusema wewe hujui chochote? Unafanyaje kitu usichokijua.Ingia net tafuta literature
Kwa mwendo huo unategemea supervisor akupe ushirikiano kweli!! supervisor kagundua uko empty anakusubiri ujipange, hawezi kukufanyia research atakuharibu badala ya kukujenga
Nashukuru bro, ila hiyo literature review natafuta lakini nimeona nipate ushauri hata huku kwa great thinkers.
 
Halafu kuna wadau wanazingua humu kwenye uzi huu, hawajui kama ni muhimu kwangu. Hili nalisema kwa sababu naona Viewers ni wengi kuliko Coments na replies, ikimaanisha kuna watu wanapita kimya, SIO VIZURI JAMAN
Sasa kama hatuna la kuchangia unataka tutukane?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom