Wataalamu wa kuandika research

Ukiandikiwa au hata ukishauriwa itakuwa kinyume kabisa na unachokitaka kufanya
Ingependeza zaidi kila kitu kikatoka kwako
 
Tatizo title hujaipata vizuri maana ulichoandika ni topic, statement of the problem unataka, halafu mwishoni umeomba namna ya kuandika proposal kabisa ina maana mtu akuandikie kila kitu?

Nashindwa nikusaidieje maana msaada uliouomba inabidi mtu akasome na aandike akutumie
 
Kwa hili unatakiwa uwe mwangalifu sana-upate mtu wa kukuongoza na sio mtu wa kukufanyia hiyo project. All the best. Mchango wa kilambimkwidu uzingatie.
nawachukia Sana wapenda pesa..ukinisaidia research ya under graduate je utanisaidia huko mbeleni?

Nilifanya research yangu..in vema ufanye mwenyewe.mtoa manda hii...zingatia ushaur ufanye MWENYEWE..
 
Back
Top Bottom