Wataalam wa kuandika research projects za Physics vyuoni

N

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
238
Likes
227
Points
60
N

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
238 227 60
Wana JF wenzangu mimi niko mwaka wa tatu chuoni UDSM ninasoma BSc.Ed.Sasa kuna course moja ya Physics yenye cod PH 346(Kwa waliosoma UDSM watakuwa wanaifahamu) ila nadhani hata vyuo vingine wanaisoma ila huenda ina cod tofauti.

Sasa kuna hili swala la Kuandika Research project report na Research yenyewe kwa ujumla ni vitu ambavyo hata sivijui, so naombeni msaada maana hawa Malecturer wa UDSM ni pasua kichwa kazi kutishiana kudisco tu basi na hata hawatuelekezi eti kazi kwetu.

Naomba msaada wa vitu vifuatavyo :
(1)Jinsi ya kuchagua research problem
(2)Jinsi ya kuandika research proporsal
(3)Vitu gani vya kuzingatia wakati wa kufanya hiyo research
(4)References
(5)Je,ni lazima utengeneze na kitu ulichokifanyia research?
(6)Umuhimu wake ukoje kwa wale watakao endelea na masters?

Karibuni sana tujuzane kwa wale wote wanaojua na wasio jua.
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,811
Likes
1,735
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,811 1,735 280
Muwe watu kama 10 hivi halafu pm nitawaelekeza ila muandae chakula kwa sababu mtakapokuwa mnakwama nitawapa support
 
Duu, hapa UDSM watu ni wawili tu kwenye group moja ndo mnakomaa na project basi
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,811
Likes
1,735
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,811 1,735 280
ok njoo inbox kwa hiyo wote wawili mnataka kuandika papers
 
f de solver

f de solver

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Messages
1,192
Likes
729
Points
280
Age
24
f de solver

f de solver

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2017
1,192 729 280
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Niwaombe msiunganishe uzi mwingine kwenye uzi huu.

Wana JF wenzangu mimi niko mwaka wa tatu chuoni UDSM ninasoma BSc.Ed.Sasa kuna course moja ya Physics yenye cod PH 346(Kwa waliosoma UDSM watakuwa wanaifahamu) ila nadhani hata vyuo vingine wanaisoma ila huenda ina cod tofauti.

Sasa kuna hili swala la Kuandika Research project report na Research yenyewe kwa ujumla ni vitu ambavyo hata sivijui, so naombeni msaada maana hawa Malecturer wa UDSM ni pasua kichwa kazi kutishiana kudisco tu basi na hata hawatuelekezi eti kazi kwetu.

Naomba msaada wa vitu vifuatavyo :
(1)Jinsi ya kuchagua research problem
(2)Jinsi ya kuandika research proporsal
(3)Vitu gani vya kuzingatia wakati wa kufanya hiyo research
(4)References
(5)Je,ni lazima utengeneze na kitu ulichokifanyia research?
(6)Umuhimu wake ukoje kwa wale watakao endelea na masters?

Karibuni sana tujuzane kwa wale wote wanaojua na wasio jua.
Aisee
 
Forum statistics

Threads 1,238,390
Members 475,954
Posts 29,318,999