Wataalamu wa kuandika research

Wataalamu wa kuandika research

Review literatures uone gaps ni zipi...then from that utaweza endelea...read, read and read
 
Nakushauri next time ukiomba ushauri usiwaseme vibaya supervisors wako. As mwisho wa siku kazi ni yako, sio ya supervisor.
Pia atambue Jamii forum ni mkusanyiko wa watu wengi Si vema kumsema supervisor wake Yawezekana naye yupo humu anamchora tu end of the day akapata shida Kwakuwa hilo andiko lake kikubwa awe makini hope atapata anachohitaji humu mana Jamii forums n zaidi ya darasa
Title inatakiwa iwe straight isiwe na maneno ya kinyume au kukanusha (mf. un-necessary). Ukiondoa hilo neno kwa kuweka neno ambalo ni positive grammatically utajikuta hata neno "overcome" (japo halikua neno sahihi kama "avoid") nalo litakua limeondoka na title yako inakua precise. Pia neno "AN" kama limewekwa tu kama article "an" naona kama lipo kimakosa kwakua neno LDR linaanza na consonat na sio special case kwamba litumie "an". Hata kama article "AN" ipo kihalali gramatically bado kwenye title ya research hua article zinatakiwa kuepukwa ili kwakua hazibadili maana ispokua zinafanya title inakua simple.

Hapo mimi ningeshauri badala ya "DESIGNING AN LDR CIRCUIT to overcome un-necessary power wastage in domestic wiring"

>>>iwe ....DESIGNING POWER EFFICIENT LDR CIRCUIT FOR DOMESTIC WIRING

>>> au
DESIGNING LOW COST WIRING LDR CIRCUIT

Sjui mambo ya science
 
Pia atambue Jamii forum ni mkusanyiko wa watu wengi Si vema kumsema supervisor wake Yawezekana naye yupo humu anamchora tu end of the day akapata shida Kwakuwa hilo andiko lake kikubwa awe makini hope atapata anachohitaji humu mana Jamii forums n zaidi ya darasa
Daaa bro ni kweli kabisa, hilo ni kosa kama yumo humu itakuwa ni balaa kwangu, so nadhani hatanihukumu, research zenyewe ndo kwanza tunaanza.
 
Sasa kama hatuna la kuchangia unataka tutukane?
Hapana bro ila angalau uoneshe uwepo wako kama hivyo ulivyofanya na sio kupita kimyakimya labda kama ulikula ban hapo sawa.
 
Pole na masomo kijana japo sio vizuri kumponda huyo supervisor ....anyway back to your points

Research nafikiria unaijua kuwa ni kudiscover unknown to be known ...ntadodosa kidogo kidogo kweny sehemu ulizosemea
1.Title
...Andika fupi and very concisely manake epuka title kuwa ndefu
...mtu akisoma title yako au wewe ukiisoma uwe na uwezo wa kupata main objectives
...avoid redundancies mfano research on....a study of ....achana navyo
...usisahau title yako iwe na independent variable na dependant variables...

2.statements of research problem

Kumbuka hapa una outline the overall problem which need solutions na angalia hiyo topic yako ni kitu gan kilishafanyika

Kwenye proposal iwe na vitu muhimu kama title ,General introduction, statement of reserch ,literature review, objectives and hypothesis, methodology,ethical considerations, references and workplan
 
Nyie watu ni kiboko, kumbe tuna majiniaz kias hiki? Thanks bro, hao supervisor sitarudia kwa criticize, mods naomba muondoe hiyo paragraph niliyo wazingua supervisors.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hayo mambo tumia pesa kidogo kwenda Nairobi, ndio wako vizuri, walikuwa serious na science siku nyingi. Adi practical. Ingia Kenya polytechnic, saizi inaitwa engineering university of East Africa. Ni muda mchache Sana unaludi umekamilisha.
 
Daaa, wewe ni kiboko bro make sio kwa haya ma ushauri, nashukuru sana.
Nisaidie jinsi ya to write the statement of the problem, hapo inakuwaje?
Pole mkuu, kwa sasa bado ninamambo mengi yananikabili na mengine yametishia uhai wangu situlii hata ofisini, nalala kwa majirani. Ningekusaidia inputs angalau.
 
Daaa pole mkuu, ila nakuombea mungu akuepusha na mabaya, na utayashinda yote
 
Pia atambue Jamii forum ni mkusanyiko wa watu wengi Si vema kumsema supervisor wake Yawezekana naye yupo humu anamchora tu end of the day akapata shida Kwakuwa hilo andiko lake kikubwa awe makini hope atapata anachohitaji humu mana Jamii forums n zaidi ya darasa
Kweli kabisa, watu wengi saana, hasa wasomi wako Jamii Forums. Kuomba msaada wa mawazo, as long as hauandikiwi research na mtu, sidhani kama ni tatizo. Hata supervisor akiikuta hiyo post, ataona una juhudi. Ila ukimsema vibaya atachukia, na anaweza ichukulia supervision process kuwa too personal, kiasi cha kutokupa ushirikiano wa kutosha. Kumbuka, kama supervisor akiamua kukukubalia kila kitu unachoandika, kuna uwezekano mkubwa ukafanya research mbaya.
 
Kweli bro, nimewaomba mods waifute hiyo paragraph niliyowatukana supervisors lakini sioni response sijui ni kwa nini
 
Hayo mambo tumia pesa kidogo kwenda Nairobi, ndio wako vizuri, walikuwa serious na science siku nyingi. Adi practical. Ingia Kenya polytechnic, saizi inaitwa engineering university of East Africa. Ni muda mchache Sana unaludi umekamilisha.
Daaa, bro yaani nitoke Dar niende Nairobi, bora unipe email zao ili tuwasiliane.

Kumbuka hizi research tunafanya mwaka mzima ila na masomo mengine yanaendelea so haitawezekana mimi kwenda Kenya
 
Kweli bro, nimewaomba mods waifute hiyo paragraph niliyowatukana supervisors lakini sioni response sijui ni kwa nini
Nimekupa hints kidogo za kuandika statement of the problem kwa social science research. Unafanya engineering lakini ninaamini itakusaidia kidogo.
 
Daaa bro ni kweli kabisa, hilo ni kosa kama yumo humu itakuwa ni balaa kwangu, so nadhani hatanihukumu, research zenyewe ndo kwanza tunaanza.
NENDA ukaedit hiyo mada yako sehemu unayomsema supervisor, heading ya research inatakiwa iwe na dependent na independent variables
 
Back
Top Bottom