Wataalamu wa Instagram ebu tupeni maujanja

Wataalamu wa Instagram ebu tupeni maujanja

True vichwa panzi ule mtandao hawauwezi tho sikuiz wanauvamia kama fb ila mwanzo lazima wa sande... Ila uko poa na ni mzuri zaidi kushinda fb na sikuiz fb wanaiga baadhi ya vitu kutoka kule

Duuuh kama mie FB nishaisahau kabisaaa maana kulikua kuna utoto mwingi tena na sasa hivi Simu ya Elfu15 unapata fb nahisi huko ndio balaa zaidi. Twitter burdaaaaani
 
Back
Top Bottom