Wataalamu wa Instagram ebu tupeni maujanja

Matola nisaidie namna ya kusign up kwenye skype natumia galaxy s11 plus

Nenda kwenye website ya skype kwenye sign up unaweza ukaselect easy way ya ku-sign up kwa kutumia facebook kwahyo details zote zitakuwa feeded kwenye skype! Kwhyo at the end utapata skype ID na p/w utatumia ya facebook.
 
Nimefanya kama ulivyonielekeza mpaka mahali pa kupewa namba ya skype nikaambiwa nichague nchi nyingi mpaka afrika kusini nimeiona sa hapo pamenichanganya so naomba msaada wako tena mkuu
 
Mi naomba kuele kuelekezwa nikitaka kuclick km mtu kalike pcha nying ili kumshukuru?

Unaweza uka MENTION jina lake kwenye post yako au yake katika sehemu ya comment..
Ili kummention unaanza na @ ikifuatiwa na jina lake..!! Wakati unaendelea kuandika jina lake mbele ya hiyo @ bila kuacha nafasi yatakuja machaguzi ( suggestions) nawe utamchagua mlengwa wako na utamshukuru kwa njia hii...
Nahisi nitakuwa nimesaidia japo kidogo katika hili
 
Bado cjapata jibu yan nataka nijue namna ya kukusanya pcha zote ambazo mtu kalike .nafanyaje app?
 
Mi naomba kuele kuelekezwa nikitaka kuclick km mtu kalike pcha nying ili kumshukuru?


kama likes zake zimefuatana kwenye notifications zako(means amelike kwa muda mmoja)unaweza kupiga 'screenshot' ya iyo page inayooshesha notifications zake kuwa amelike picha zako,,na ukaipost iyo screenshot as a normal picture na ukaandika ur appreciations ka maelezo ya iyo picha
 
niliwahi soma review moja ktk mitandao ilikuwa inasema twitter is more like of a mac os.not user freindly and it's for elite social media users.nilipofungua a/c yangu kwa mara ya kwanza nikagundua ni kweli..ule mtandao ni mgumu kuutumia.inabidi uwe kichwa kidogo kuutumia vile inavyo takiwa.ndo mana vichwa vya panzi huwakuti kule.chunguza mkuu.

True vichwa panzi ule mtandao hawauwezi tho sikuiz wanauvamia kama fb ila mwanzo lazima wa sande... Ila uko poa na ni mzuri zaidi kushinda fb na sikuiz fb wanaiga baadhi ya vitu kutoka kule
 
Kwa wajasiliamali wanaojua kutumia fursa,insta ni sehemu nzuri wanayotumia kibiashara na inawalipa haswa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom