Casio fala sana. Kaanza na mabano 2+1 kapata 3. Kisha kaja iyo 3 kaizidisha na 2 kapata 6 kisha kagawanya 6 kwa 6.
Uyo Tecno yupo sahihi. MAGAZIJUTO
magazijuto mbona jibu nalo haliji sawa 🤔Casio fala sana. Kaanza na mabano 2+1 kapata 3. Kisha kaja iyo 3 kaizidisha na 2 kapata 6 kisha kagawanya 6 kwa 6.
Uyo Tecno yupo sahihi. MAGAZIJUTO
Mbona tecno ndio yupo sahihi mkuu.Hilo swali sio jepesi kama.linavyoonekana.
Casio yupo sahihi. Hapo casio katumia njia ya kizamani kasolve kwa kutumia symbol ÷
Tecno na yeye yupo sahihi. Katumia njia ya kisasa kasolve kwa kutumia symbol /
Jibu la hilo swali limetesa dunia nzima. Ma proffessor wa mathematics havard huko na oxford wanabishana jibu la hilo swali
Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.magazijuto mbona jibu nalo haliji sawa 🤔
Mbona tecno ndio yupo sahihi mkuu.
Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
OKey...okey....okey...Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
huwezi kujumlisha namba zilizopo ndani ha mabano kama kuna namba kamili pemben ya mabano mfano 2(2+1) lazima hyo 2 uzidishe na hizo namba moja moja ndani ya mabano hapo ndio tunafungua mabano but ingekuwa mfano 2 + (2+1) hapo ndio unajumlisha namba zilizomo kwenye mabanoAnza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
Unakosea.Anza na namba zilizopo ndani ya mabano.
6÷2(1+2)
(1+2)=(3)
Kisha fungua mabano
= 6÷2(3)
3*3=9
Mgonjwa mwingine huyuapa...huwezi kujumlisha namba zilizopo ndani ha mabano kama kuna namba kamili pemben ya mabano mfano 2(2+1) lazima hyo 2 uzidishe na hizo namba moja moja ndani ya mabano hapo ndio tunafungua mabano but ingekuwa mfano 2 + (2+1) hapo ndio unajumlisha namba zilizomo kwenye mabano
sijui umenielewa
/ Na ÷ hazina utofauti wowote..Rudi shuleWewe umesolve kizamani gawanya umeipa symbol hii ÷
Kisasa gawanya haitumii symbol hiyo. Inatumika 6/2(1+2)
Haiwezekani hesabu ikawa na majibu mawili.. NeverHapo wote wapo sahihi