JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,541
- 7,654
Ukishajumlisha 1 na 2 kwenye mabano tayari ushamalizana nayo hayo mabano na inakuwa 6÷2×3 ambayo ni 9.Huyu ni ngonjwa kama wagonjwa wengine.
Kanuni ya BODMAS inaanza na KUFUNGUA MABANO.
Ila yeye kajumlisha tu 2 na 1, mabano hajafungua, anakimbilia kudai eti kugawanya na kuzidisha zina vipaumbele sawa.
Unasemaje zina vipaumbele sawa wakati bado mabano yanakutazama? Pathetic!