Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 7,438
- 27,754
Umeongea nn hapa sasa mkuuhuwezi kujumlisha namba zilizopo ndani ha mabano kama kuna namba kamili pemben ya mabano mfano 2(2+1) lazima hyo 2 uzidishe na hizo namba moja moja ndani ya mabano hapo ndio tunafungua mabano but ingekuwa mfano 2 + (2+1) hapo ndio unajumlisha namba zilizomo kwenye mabano
sijui umenielewa
2(2+1) ni 6 kwa eiza kujumlisha za ndani ya mabano ndio uzidishe kwa 2 au uzidishe kwa 2 hizo namba za kwenye mabano moja moja kisha ujumlishe