Mimi ni mwanamke mwenye mume, huu ni zaidi ya mwezi wa pili npo kwenye hedhi nimefanyiwa ultrasound sina tatizo nimetumia dawa za hospital bado, za kienyeji bado tatizo linaendelea......
Mume wangu ananihitaji ata mi nahitaji kitu roho inapenda lakini nashindwa.....
Nisaidieni nifanyeje, au naweza kumpatia ivoivo, je kiafya haina madhara?
Nishaurini
Mume wangu ananihitaji ata mi nahitaji kitu roho inapenda lakini nashindwa.....
Nisaidieni nifanyeje, au naweza kumpatia ivoivo, je kiafya haina madhara?
Nishaurini