- Thread starter
- #21
pole sn dadangu n kumpa mumeo ktk hali hiyo maana naye pia anaweza kupt matatizo we muone daktari na km umesha muona na akakupa dawa uka2mia bila mafanikio badilisha uende kwa dr mwingine.naiman mungu atakusaidia.
asante
pole sn dadangu n kumpa mumeo ktk hali hiyo maana naye pia anaweza kupt matatizo we muone daktari na km umesha muona na akakupa dawa uka2mia bila mafanikio badilisha uende kwa dr mwingine.naiman mungu atakusaidia.
Nina uhakika haujaonana na daktari wa wanawake. Ushauri wa mitaani hautakusaidia sana. Nenda kaonane na gynae, utafanyiwa vipimo vya damu na kusaidiwa. Kuna dawa ukipewa inafanya kazi kama muujiza, ndani ya siku mbili damu inaisha. Lakini ni prescription drug, ni lazma uonwe na kuandikiwa.
Pole sana, msisahau kuomba Mungi ana nafasi yake.
Isijekuwa ni uterine fibroid..maana wanawake wengi huwa wana-suffer from that disease. Ila kama alivyosema dada King'asti,nenda kaonane na daktar wa wanawake..usikie atasemaje. I believe utapata quick solution hapo. M'Mungu akujaalie dada,upate nafuu haraka na hatimaye kupona..
Pole sana....mwenyewe iliwah nitokea kwa muda wa mwezi mmoja tena ilikuwa ya nguvu ile mbaya hadi nilistop kwenda kazini,baada ya hali kuzidi ilibidi niende nyumbani ndo nikapewa dawa za jadi nikapona.Mpaka leo huwa sijui tatizo lilikuwa nn maana by then sikuwa ktk mahusiano na wala sikuwah kutumia dawa za uzazi wa mpango.
Kwa case yako hiyo,mi naona haina shida kubwa hasa kwa vile flow ni ndogo hivyo zingatia ushauri wa wadau km walivyosema.