Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
<br />Kijana alikwenda kukopa kwa Baba sh 50 na Mama sh 50 akawa na sh 100, akaenda kununua vitu vya sh 97 akabaki na sh 3, akarudi akampa Baba sh 1 na Mama 1, na yeye akabaki na sh 1, kwa hiyo Baba anadai sh 49 na Mama sh 49, ukijumlisha unapata sh 98, ukijumlisha na ile sh 1 inakuwa sh 99, sh 1 iko wapi?
<br />
Kwanini usijumlishe 98 na shilingi 2 alizowalipa baba na mama yake ili upate 100? njia uliofanya hapo juu haiendani na kanuni za hesabu