Wataalam wa namba.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa namba....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Dena Amsi, Aug 19, 2011.

1. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#1
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160
Kijana alikwenda kukopa kwa Baba sh 50 na Mama sh 50 akawa na sh 100, akaenda kununua vitu vya sh 97 akabaki na sh 3, akarudi akampa Baba sh 1 na Mama 1, na yeye akabaki na sh 1, kwa hiyo Baba anadai sh 49 na Mama sh 49, ukijumlisha unapata sh 98, ukijumlisha na ile sh 1 inakuwa sh 99, sh 1 iko wapi?

2. sweetlady

sweetlady JF-Expert Member

#2
Aug 19, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 16,982
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
sh 1 iko kwa baba na mama!

Naendelea kuchanganua bdo kdgo ntapatia.

3. Ms Judith

Ms Judith JF-Expert Member

#3
Aug 19, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,569
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
iko kwenye vitu alivyonunua! yaani vitu alivyonunua vina thamani ya sh 97, deni ni sh 98, kwa hiyo anazo sh 2. moja anayo mkononi, nyingine ndiyo hiyo (deni -vitu) yaani (98-97) = 1. kama atauza hivyo vitu at cost, atapata sh 97, akijumlisha na moja aliyonayo inakuwa jumla 98 analipa deni lote lililobaki, anamaliza.

natumaini umenipata mpendwa

ubarikiwe

4. Tz-guy

Tz-guy JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 439
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Huwa sifanyi hesabu rahisi kama hizo, lete swali gumu..!

5. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#5
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Waiting

6. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#6
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Leta jibu acha zako

7. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#7
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Karibu upate jitahidi kidogo

8. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
acha sumbua watu,toa jibu.
uji upo kichwani bado

9. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#9
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Jaribu kidogo bana

10. Ms Judith

Ms Judith JF-Expert Member

#10
Aug 19, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,569
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
k
itu gani hakijaeleweka hapo mpendwa, deni limepunguzwa kutoka sh 100 hadi 98. kwa hiyo katika 98, vilinunuliwa vitu vya 97 na amebaki na sh 1 mkononi, sasa shi 1 unayoitafuta iko wapi?

ufafanuzi zaidi:

50+50 =100,
100-97-1-1=99 ndiyo uliyopata kwa hesabu zako, jumlisha sh 1 aliyonayo mkononi = 100!

tafakari!

ubarikiwe

11. Sabry001

Sabry001 JF-Expert Member

#11
Aug 19, 2011
Joined: Jun 28, 2011
Messages: 1,064
Likes Received: 13
Trophy Points: 135
Kwa kuwa ni deni, hakuna pesa aliyobaki nayo.

12. Sabry001

Sabry001 JF-Expert Member

#12
Aug 19, 2011
Joined: Jun 28, 2011
Messages: 1,064
Likes Received: 13
Trophy Points: 135
hyo dola moja ambayo haionekani Alinunulia ice cream akasahau, .

13. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#13
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Ha ha ha ha acha uvivu toa jibu

14. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#14
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Bado hujapata Judith

15. Power G

Power G JF-Expert Member

#15
Aug 19, 2011
Joined: Apr 20, 2011
Messages: 3,911
Likes Received: 88
Trophy Points: 145
Samahani, mimi mwalimu wa hisabati tulikuwa tunapishana mlangoni akiingia darasani mimi nasepa!

16. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#16
Aug 19, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160

Ha ha ha pole na karibu

17. Jestina

Jestina JF-Expert Member

#17
Aug 20, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,806
Likes Received: 120
Trophy Points: 160
shiling moja kabaki nayo yeye mtoto

18. Kiranga

Kiranga JF-Expert Member

#18
Aug 20, 2011
Joined: Jan 29, 2009
Messages: 34,606
Likes Received: 6,177
Trophy Points: 280
Kwa nini unajumlisha (-98) + 1 na kupata 99 ?

Unafanya double discounting/ counting hapo.

Kama katumia sh 97, na kakopa kwa watu wawili, anachodaiwa ni sh 48.5 na kila mmoja, na si sh 49 na kila mmoja.

97/2 = 48.5, not 49.

Tatizo ni illusion ya maneno, ulipogawanya deni lililobaki, uliligawanya kwa 98, na sio 97 kama unavyotakiwa.

Hapa ndipo tofauti ya shilingi moja inapotokea.

QED

Interesting though, tuletee mengine more challenging.

19. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#19
Aug 20, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
Sh moja atakuwa alidondosha.

20. EMT

EMT JF-Expert Member

#20
Aug 20, 2011
Joined: Jan 13, 2010
Messages: 14,464
Likes Received: 865
Trophy Points: 280
Acheki na mwenye duka. Inawezekana hukumrundishia change kamili.

Loading...