Wataalam wa Kiswahili

Colea911

Member
Jul 20, 2014
24
5
Habari wenzangu,

Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo:

(1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine kifaransa kina mitihani yake ya DELF ama DALF. Je, Kiswahili kina nayo pia inayotambuliwa na wengi?
 
Sidhani kama hiyo mitihani ipo au inahitajika.

Mashule na vyuo vyetu hutumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia.

Hakutakuwa na maana ya kumjaribu mtu ufahamu wake wa lugha ya Kiswahili labda kama anataka kuja kusoma/kufanya utafiti katika lugha hiyo.

Wanaotahiniwa lugha za Kiingereza au Kifaransa ni wale wanaojiunga na vyuo ambavyo lugha yake ya kufundishia ni hiyo.

Nchi nyingine kama Urusi, Poland, Ujerumani hawana masharti hayo kwa sababu program zao zinajumuisha mafunzo ya awali ya lugha zao.

Back
Top Bottom