Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 536
Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?
Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?
asante kwa ufafanuzi. Ninawezaje kubadili operating system ya hiyo THIN CLIENTThin Client ni aina ya computer nyepesi(lightweight) yaani haina functionalities kama za PC nyingine na hii inatumika kwa kuconnect na server(unaweza kuiita computer mama), na inapokea kila kitu na kuwa controlled na computer mama.
Mfano, kwenye mazingira ya kujifunzia kama shule, badala ya kununua computer 10 kwa ajili ya kufundishia kwenye lab yako basi unaweka computer moja tu itakayoact kama server na hizi thin client 10 kwa ajili ya wanafunzi.
Faida yake ni kuwa ni cheap kwahiyo una minimize cost lakini pia ni ndogo in size yaani ni kama tu unafunga monitors na kibox kidogo badala ya liCPU lizima.
Haya uliza swali
Thin client haina local storage au hard drive hivyo huwezi kuinstal OS bali inatumia hiyohiyo ya serverasante kwa ufafanuzi. Ninawezaje kubadili operating system ya hiyo THIN CLIENT
Thanks brotherThin client haina local storage au hard drive hivyo huwezi kuinstal OS bali inatumia hiyohiyo ya server
Mbona hii thin client yangu nikichomeka kwenye monitor inaonesha windows XP alafu inataka administrator password?Thin client haina local storage au hard drive hivyo huwezi kuinstal OS bali inatumia hiyohiyo ya server
sio thin client, hiyo ni desktop ya kawaidaMbona hii thin client yangu nikichomeka kwenye monitor inaonesha windows XP alafu inataka administrator password?
Ninaomba msaada wako mkuu inaonekana unajua sana ICT. Nimejaribu kuangalia HDD sijaona. Ninaona tu processor na RAMsio thin client, hiyo ni desktop ya kawaida
fungua picha picha kwa ndani tuone vifaa vilivyopo, piga picha kwa nje pia sehemu yenye sticker yenye maandishi tuone ni model ganiNinaomba msaada wako mkuu inaonekana unajua sana ICT. Nimejaribu kuangalia HDD sijaona. Ninaona tu processor na RAM
Sawa kakafungua picha picha kwa ndani tuone vifaa vilivyopo, piga picha kwa nje pia sehemu yenye sticker yenye maandishi tuone ni model gani
Picha zote hizo hapo juu kaka mkubwafungua picha picha kwa ndani tuone vifaa vilivyopo, piga picha kwa nje pia sehemu yenye sticker yenye maandishi tuone ni model gani
Sawa kaka mkubwa. Asante sana kwa msaada wakoI think hiyo ni HP Neoware Thin Client yako ni ya muda kidogo, uza tu kama spare. Soma hapa kujua zaidi kuhusu hizo products
https://support.hp.com/th-en/document/c01293565
Mkuu nisaidie kuuza kama spareuza tu kama spare