Anahitajika mtaalam wa ICT pricing

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,064
2,301
Kampuni yetu imejisajili NEST kwa ajili ya usambazaji wa vifaa mbalimbali vya ICT vipya (computer na fifaa vyake vyote). Anahitajika mtu anayejua bei za vifaa hivyo hapa nchini na nje ya nchi, maana vingine ni vya kuagiza.

Makubaliano ni 10% ya faida inayopatikana kwa kila tenda inayoshinda.

Awe mwepesi kuhakikisha anaenda na muda.

Ujuzi: awe mwelewa mzuri wa bei na specifications za bidhaa za ICT.

Whatsapp tu 255767334505

Tuko Dar
 
Kampuni yetu imejisajili NEST kwa ajili ya usambazaji wa vifaa mbalimbali vya ICT. Anahitajika mtu anayejua bei za vifaa hivyo hapa nchini na nje ya nchi, maana vingine ni vya kuagiza...
Vifaa gani
 
Back
Top Bottom