Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?

Thin Client ni aina ya computer nyepesi(lightweight) yaani haina functionalities kama za PC nyingine na hii inatumika kwa kuconnect na server(unaweza kuiita computer mama), na inapokea kila kitu na kuwa controlled na computer mama.
Mfano, kwenye mazingira ya kujifunzia kama shule, badala ya kununua computer 10 kwa ajili ya kufundishia kwenye lab yako basi unaweka computer moja tu itakayoact kama server na hizi thin client 10 kwa ajili ya wanafunzi.
Faida yake ni kuwa ni cheap kwahiyo una minimize cost lakini pia ni ndogo in size yaani ni kama tu unafunga monitors na kibox kidogo badala ya liCPU lizima.
Haya uliza swali

asante kwa ufafanuzi. Ninawezaje kubadili operating system ya hiyo THIN CLIENT
 
Screenshot_20200128-191341.png

IMG_20200128_191035_401.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom