inawezekana kuna app in bugs au kuna kitu kinafanya kazi chini kwa chini hivyo kinafanya processor itumike 100%.
nenda setting angalia simu yako kama ina developer mode
mkuu Chifumkwawa Hz HTC kupata joto ni kawaida mm nimetumia zaidi ya 4 but unapowasha data wif nk.