Wataalam, Msaada Tafadhali

Wataalam, Msaada Tafadhali

naona nyingi ni za kulipia mkuu za bure zinagoma kufungua. ingia hapa dc-unlocker.com. uingize imei utalipia tehn itakupa hizo code. ikishakupa fuata maelekezo ambayo nimekutumia hapo juu
 
Hio ni rahisi mkuu, kuna site naona hapa inadai dola $8 kwa code ila sijajua kama ni Genuine.

Tafuta tu mtu mwenye box la kisasa ata generate hio code utoe lock.

Site hii

Box kuna wadau humu
Malaika wa Kifo
Hawa siyo wezi. Nimelipia baada ya masaa 4 wakani refund na kuniandikia email ya kuomba radhi kwa kushindwa kazi🧢
 
Back
Top Bottom