Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Mkuu unaeleza kwa nguvu uvamizi wa Urusu kwa majirani...lakini unashindwa kabisa kugusia ushetani wa US/NATO pale Iraq, Libya na Syria.
Nimeeleza uvamizi wa Russia kwa majirani wote hao, nikakubaliana na mchangiaji jinsi Marekani ilivyovamia jirani yake mmoja tu mpaka leo. Kama hujaridhika anzisha mada ya uvamizi wa Marekani kwa jirani umtaje Mexico tu.
Au kama unaona siuzungumzii uvamizi wa Marekani, uzungumzie wewe. Mbona sijakwambia ambavyo hugusii uvamizi wa Urusi.

Au anzisha mada ya Blackwater/Academy na mission za Pentagon unitag. Uko sitokaa nizungumzie mada ya Urusi.
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Aisee we jamaa unachekesha sana au ndiyo ile ukipenda chongo huita kengeza
 
Unajua kuna kupigana vita na kupigana vita kistaarabu. Tanzania namna tulivyopigana na Uganda ilikuwa kistaarabu kiasi kwamba hatukuharibu miundombinu yao kimakusudi wala kuua raia wasio na hatia. Ndio maana immediately baada ya vita upendo wetu na kwao ulirudi hutosikia tunasemwa vibaya.
Ujerumani pale WW2 imepigana na majirani ila hawana nongwa nayo sababu haikuwa inapigana kiwendawazimu labda tu operation dhidi ya Wayahudi.

Sasa Urusi inachukiwa sababu ilishavamia au kupigana na majirani wake wengi. Alafu ustaarabu wa vita haina, Urusi yenyewe vita zake za wenyewe kwa wenyewe hawana ustaarabu. Hata wakivamiwa wanafanya mobilization bila ustaarabu sembuse wakienda kwa adui.
Na Urusi haibadiliki mawazo inawaza kuvamia kila miaka michache inapopita wakati kina Ujerumani walishaachana na Fascist ideologies muda sana. Alafu Urusi inalazimisha ujirani kwa nguvu badala ya ushawishi. Mwishowe kila jirani anakaa nayo kimtego.

Japan inachukiwa kihistoria tena sana kuliko Urusi kwa matukio iliyowafanyia majirani ila kwa sasa haina fujo na haina dalili za kurejea ujinga ule. Hii majirani hawana wasiwasi nayo.
unachekesha sana,
kuna nchi inayopiga wenzake vibaya kama US hapa duniani?

yule general wa US alisema Ukraine itaanguka baada ya masaa 72 alifikiri Russia watapiga kama wao wanavyofanya, lakn mpk leo haiko hivyo!

hapa duniani hakuna nchi zinapiga hovyo kama US (NATO), usilinganishe Urusi na hayo madudu.......
 
Russia haina uwezo wa kupigana haraka labda itumie nukes. Na vilevile haina uwezo wa kupigana prolonged warfare. Vita yao wenyewe Chechnya iliwatoa makamasi sembuse vita ya mataifa mengine ya Ulaya.

Huyo US General alidhania Russia ina uwezo kijeshi, kumbe propaganda na uwezo mkubwa wa makaratasi. Paper tiger

US/NATO zina doctrines tofauti. Hawawezi pigana bila air dominance kitu ambacho mpaka leo zaidi ya miezi 14 Russia haina. Hakuna mahala US ilishaenda na isiwe na air dominance, tangu uwepo wa ndegevita
 
US inaonekana ina Air dominance katika vita ilizowahi kupigana sababu nchi ambazo imewahi kuzivamia hazikuwa na sophisticated Air defence systems lakini kwa mfano leo hii itokee U.S ipigane na nchi kama Russia, Turkey , India au China hiyo Air dominance unayoiongelea hutoiona na watakula hasara kubwa sana kwenye Airforce yao.
 
Sasa ww mtu anapigana na Iraq, Libya, Afghanistan, Vietnam, Syria etc kwa nn asiwe na air dominance? Ebu apigane na Russia, China, Iran, Korea nione kama atatembeza madude hewani.

Believe it or not ingekua kinchi tu mfano Misri au jirani kama Moldova ndo kimeivamia Ukraine alf mzee wa kazi US akamaindi, kingepigwa kata funua kwisha kila kitu. Mifano ipo, Iraq aliivamia Kuwait, nn kilitokea?
 
Kula hasara ni kitu wanachotarajia ndio maana wana maelfu ya ndege na drones. Hakuna silaha yoyote Marekani iliunda ili iwe immortal, wanajua kabisa kwenye peer to peer enemies watapata ushindani. Ila mwisho wa siku watakula hasara na watashinda na kutawala anga.
Marekani haijawahi kutana na adui wenye uwezo mkubwa kuwazidi Ujerumani na Japan na aliwashinda angani. Russia hana air dominance kwa Ukraine sembuse kwa Marekani
 
Iraq pale Marekani iliitwa na Saudi Arabia baada ya S. Hussein kuitafuta nchi yao. Iraq sio level sawa na Russia, usitake kufananisha vitu havilingani. Ila wakati huohuo Russia sio level za Marekani, kwa China sawa wanaweza tafutana kwa sasa
 
Katika mambo napenda yatokee ni kiwa hai,ni VITA ya 3 ya Dunia.
Hawa NATO wanachelewesha ndoto yangu kutimia
Capitalist wanaakili sana kuliko socialist. Huwezi kuona vita ya 3 duniani.
Wagner na Urusi ni watoto wadogo sana ndiyo maana wanawekewa vikwazo. Korea kaskazini yupo wapi? wananyamazishwa kwa kutumia akili kubwa huku watu wanakula bata.
Ukraine alikuwa anang'ang'ania aingie NATO. Wamemkataa halafu misaada wanampa. Capitalist wanawaza kuwatengenezewa watoto wao mazingira mazuri ya kula bata, socialist wanajiwaza wao tu.
 
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
wayukreni wa buza ktk kiwango chenu cha juu cha kupiga mkwara.
 
Uhakika ni kwamba uvamizi wowote wa Wagner, Belarus au Urusi nchini Poland ni vita itakayopiganwa hadi ndani ya Minsk na Moscow, haitakuwa ndani ya nchi moja tu kama Ukraine. Poland watapiga ndani kabisa ya Belarus na Urusi.
Wakati huo urusi atakuwa amelala? Hao NATO wanacho kiogopa kwa Urusi ni silaha za kimkakati
 
Kula hasara ni kitu wanachotarajia ndio maana wana maelfu ya ndege na drones. Hakuna silaha yoyote Marekani iliunda ili iwe immortal, wanajua kabisa kwenye peer to peer enemies watapata ushindani. Ila mwisho wa siku watakula hasara na watashinda na kutawala anga.
Marekani haijawahi kutana na adui wenye uwezo mkubwa kuwazidi Ujerumani na Japan na aliwashinda angani. Russia hana air dominance kwa Ukraine sembuse kwa Marekani
Hahahah😄😄😄😄😄 you guys bhana huwa mnanifurahishaga sana kwa jinsi mnavyojifariji na US yenu ....ila naomba nikuulize hivi Japan au Germany wana Air defence system ya zenye uwezo wa kushinda za Russia???? Yani wewe kwa akili yako unaamini US inaweza kuipiga Russia kirahisi tu kama inavyopigana na akina Sadam na Taliban??..kwamba wanaeeza kudominate Air just like that?? ....hicho kigezo chako cha kusema Russia anashindwa kudominate Air hapo Ukraine unajua kinachoendelea sema huwa mnajitoa ufahamu ili kulinda hoja zenu hivi nani hajui kuwa Russia inapigana proxy war na Nato hapo Ukraine???? A bunch of Countries zinazotoa kila aina ya weapon na bado wameshindwa na silaha zao zinalipuliwa kila siku ...walichoweza ni kuchelewesha tu ushindi..Na isitoshe Russia haijatangaza vita na Ukraine iko kwenye special operation itakapofikia hatua ya kutangaza vita approach haitakua hii unayoiona..
 
Russia hajatangaza vita Ukraine kwani yuko pale analima ngano?
Ni yaleyale ninayosema, kama unaona Russia anashindwa kuwa na air dominance sababu ya air defence systems za msaada sasa kwanini uote kwamba ataweza kushinda air dominance dhidi ya Marekani.

Ukraine ina air defence brigades ngapi na Marekani inazo ngapi?
Kama Ukraine imepewa Patriot batteries mbili tu (export version) na Urusi inateseka nazo sembuse Marekani ifunge batteries zake zaidi ya 50 za Patriot. Kama hizo systems nyingine kina SAMP-T, NASAMS n.k bado Marekani anazo nyingine nyingi kwake. Ukijumlisha AD systems zote za Ukraine hazifiki hata 20% ya alizonazo Marekani.
 
Back
Top Bottom