Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Russia hajatangaza vita Ukraine kwani yuko pale analima ngano?
Ni yaleyale ninayosema, kama unaona Russia anashindwa kuwa na air dominance sababu ya air defence systems za msaada sasa kwanini uote kwamba ataweza kushinda air dominance dhidi ya Marekani.

Ukraine ina air defence brigades ngapi na Marekani inazo ngapi?
Kama Ukraine imepewa Patriot batteries mbili tu (export version) na Urusi inateseka nazo sembuse Marekani ifunge batteries zake zaidi ya 50 za Patriot. Kama hizo systems nyingine kina SAMP-T, NASAMS n.k bado Marekani anazo nyingine nyingi kwake. Ukijumlisha AD systems zote za Ukraine hazifiki hata 20% ya alizonazo Marekani.
[emoji2][emoji2]eti analima ngano
 
Ndio maana nikakwambia approach ya hii operation si sawa na kama Russia ingetangaza vita ..kuna silaha ambazo Russia hajazipeleka pale Ukraine mainly anatumia soviet era weapons hizo Patriots unazoongelea zinachomwa kila siku yani..Ok nikuulize in terms of Air defence systems hizo Patriot ni bora kuliko S400? Najua utasema Patriots ila ukweli unajulikana. Na hakuna Aircraft ata moja ambayo ni threat kwa hizo systems iwe F35 F22 or any uchafu .na as longer as hii operation inavyozidi kuendelea Russia inazidi kuwa imara na inazidi kuziba gaps za weakness mfano mzuri leo hii accuracy ya Pantsir interception dhidi ya HIMARS ni 100% that means wame develope software ambayo imekua more efficient, ukija kwenye electronic warfare and jamming hakuna kama Russia , now drones mpya zinazidi kutengenezwa. So hii vita NATO hawawezi kuishinda Russia ata wafanye nini kinamna yeyote iwe kitechnologia kijeshi au kivyovyote.
 
Sidhani kama kweli Urusi n mdhamini mkuu wa wegner, watu wengi wameifahamu hy wegner kwenye vita ya Urusi na Ukraine lkn hy haina maana kwamba wegner yupo chini ya Russia.
Ht ww unaweza kuwachukua hao wegner ili kutimiza jambo lako na unawalipa.
Unapindisha ukwel boss
 
Mlisema hv tangu vita dhidi ya Ukraine, ila jamaa bado yupo sana anaendelea kucheza na akili zenu
Huon utofaut wa mwaka 2022 na 2023 , ss hv vitu vinatua moscow , Putin asipojiongeza bas atakutana na moto muda si mrefu hakuna NATO ataivamia Urusi ila watamfanya adhoofike kias wapinzan wake wa ndan wamumudu
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Dah !
Huu ni uchambuzi wa ajabu sana.
Kwamba Poland itaipiga Urusi kirahis,

Kwa sababu Poland imenunua silaha kutoka USA, south Korea na .....

Kwa hiyo polanda itaipiga Urusi,nchi inayotengeneza silaha zake na nyingine nyingi kuuza nje, kuzidi hata USA.

Aisee ukisikia wataalamu wapo JF
 
Ni vigumu Wagner , Belarus na Russia kujaribu kuvamia Poland kwa kuwa watakuwa wametangaza Vita vya moja kwa moja .

Urusi iliivamia Ukraine kwa kuwa hakuwa NATO Wala EU maana ibara ya Tano ya mkataba wa NATO unasema ukiivamia nchi mojawapo iliyo katika muungano huo wa kujihami utakuwa umevamia wote na wote watawajibika kukushambulia eg , Afghanistan na Iraq .

Rais wa Belarus Kama alivyoitwa na o Obama kuwa ndio dictator wa mwisho wa ulaya ameshajionea kilichompata Russia japo alikuwa na nguvu kubwa kuliko yeye .

Belarus amepewa nyuklia capabilities Ila Bado hajafikia uwezo wa kuzitumia ,

Belarus bado inamatatizo mengi ya ndani tofauti na urusi na uchumi kiduchu si dhani Kama anaweza kujaribu zaidi ya kutisha tu .

USSR
Kwa hiyo Rais wa USA akikuita jina basi linapita.
Kwamba kamuita Dictator wa mwisho ulaya na ndio keshabatizwa tayari.
Aisee.
 
Wagner wakiivamia Poland basi ujue mwisho wa Lukashenko kutawala Belarus na mwisho wa Belarus kuwa chawa wa Urusi.
Kwa Nini huo uwezo mnaodhani west wanao wasiuoneshe Sasa hivi kupitia Ukraine?

Kwa Nini hao west wanaruhusu Ukraine walioipenda kwa jasho na damu wanaacha inasmabratishwa?

Kwa Nini hao west wasifanye kuingilia kijeshi kama walivyofanya Iraq,Bosnia and Herzegovina na Kosovo? Na hata Libya?

Kwa Nini lukashenko akiwa rafiki wa Putin anaitwa chawa?

Kwa Nini Zelensky haitwi chawa wa USA?

Kwa Nini Putin akiwa na rafiki inawakera west?

Kwa Nini lkn?
 
Unafikiri kwanini mpaka leo Ukraine kamkomalia Urusi?
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Umewaza kwa kutumia sijui kiungo gani?ndo maana CCM inaiba kwa sababu ya Watu kama nyie.
 
Huon utofaut wa mwaka 2022 na 2023 , ss hv vitu vinatua moscow , Putin asipojiongeza bas atakutana na moto muda si mrefu hakuna NATO ataivamia Urusi ila watamfanya adhoofike kias wapinzan wake wa ndan wamumudu
Unaandika upuuzi tu.
 
Dah !
Huu ni uchambuzi wa ajabu sana.
Kwamba Poland itaipiga Urusi kirahis,

Kwa sababu Poland imenunua silaha kutoka USA, south Korea na .....

Kwa hiyo polanda itaipiga Urusi,nchi inayotengeneza silaha zake na nyingine nyingi kuuza nje, kuzidi hata USA.

Aisee ukisikia wataalamu wapo JF
Mpk ss huyo Urusi anashindwa nn kuimaliza Ukraine , je Ukraine kipind anavamiwa alikuwa level za Poland?
 
Hahahah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] you guys bhana huwa mnanifurahishaga sana kwa jinsi mnavyojifariji na US yenu ....ila naomba nikuulize hivi Japan au Germany wana Air defence system ya zenye uwezo wa kushinda za Russia???? Yani wewe kwa akili yako unaamini US inaweza kuipiga Russia kirahisi tu kama inavyopigana na akina Sadam na Taliban??..kwamba wanaeeza kudominate Air just like that?? ....hicho kigezo chako cha kusema Russia anashindwa kudominate Air hapo Ukraine unajua kinachoendelea sema huwa mnajitoa ufahamu ili kulinda hoja zenu hivi nani hajui kuwa Russia inapigana proxy war na Nato hapo Ukraine???? A bunch of Countries zinazotoa kila aina ya weapon na bado wameshindwa na silaha zao zinalipuliwa kila siku ...walichoweza ni kuchelewesha tu ushindi..Na isitoshe Russia haijatangaza vita na Ukraine iko kwenye special operation itakapofikia hatua ya kutangaza vita approach haitakua hii unayoiona..
Kama washirika wa NATO wakitoa kila aina ya silaha kwenda Ukraine, sasa huenda tungekuwa tunazungumzia uwezekano wa madhara ya Nuclear baina ya mataifa haya mawili, Russia asingeweza vumilia hiko kipigo.
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Sio Hilo tu Urusi akikumbuka vita yake na Poland nadhani hana ham waliuwawa sana Warusi kiasi wakasema umetisha. Hivi sasa anajuwa Poland ataenda rudisha Ardhi yake mara Saba Urusi itagawanyika zaidi na hili lina mtesa sana P
 
Back
Top Bottom