Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Ni vigumu Wagner , Belarus na Russia kujaribu kuvamia Poland kwa kuwa watakuwa wametangaza Vita vya moja kwa moja .

Urusi iliivamia Ukraine kwa kuwa hakuwa NATO Wala EU maana ibara ya Tano ya mkataba wa NATO unasema ukiivamia nchi mojawapo iliyo katika muungano huo wa kujihami utakuwa umevamia wote na wote watawajibika kukushambulia eg , Afghanistan na Iraq .

Rais wa Belarus Kama alivyoitwa na o Obama kuwa ndio dictator wa mwisho wa ulaya ameshajionea kilichompata Russia japo alikuwa na nguvu kubwa kuliko yeye .

Belarus amepewa nyuklia capabilities Ila Bado hajafikia uwezo wa kuzitumia ,

Belarus bado inamatatizo mengi ya ndani tofauti na urusi na uchumi kiduchu si dhani Kama anaweza kujaribu zaidi ya kutisha tu .

USSR
Asante. Ndivyo ninavyojua.
 
Hizo silaha zote zimeyeyushwa Ukraine na speach ya Putin Jana ameziaelezea kuwa na sifa ya Majina ila UWANJANI Zero
Zile nyuklia alizotoa UK kwa Ukraine sijasikia zilizotumika

Najiuliza nilipitwa na taarifa au bado hazijafika front
 
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha[emoji1431]
Russian president amesema ukigusa Belarus umegusa russia
Manake hapo itakuwa nato vs Russia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Nchi zaid ya 50 zimejichanga lakini zimeshindwa kwa urus

Ndo aje huyo kikojozi? Nato mtakimbiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Hao wauza silaha wameachwa uchi itakuwa mnunuzi wa silaha ambaye hajauziwa silaha zote za maangamizi? 🤣!!! Ficha ujinga wako Russia hawezi kupigwa na mtoto yeyote wa NATO tena ile man to man. Hakunaa!!!
 
Poland sio hadhi yake kupigana na Wagner, hao Wagner hata jeshi la Belarus linaweza wapiga asubuhi na mapema.

Ni kwamba Poland huwa wanaichukia sana Russia sababu waliwahi pigana nayo na kuishinda, ila kwenye WW2 ikashirikiana na Ujerumani kuwapiga na wakaigawa mara mbili na baada ya miaka miwili Ujerumani na USSR wakapigana na wao. Wakati Ujerumani iliwavamia na kupigana nao, USSR iliua maofisa wa Poland baada ya vita. Wapolish zaidi ya 20,000 hasa wanajeshi wa zamani na maaafisa usalama Stalin aliagiza wauwawe kwenye Katyn massacre. So ni Poland inayojua ubaya wa kuvamiwa na Urusi ndio maana ilikuwa nchi ya kwanza kuisaidia Ukraine kabla ya NATO members wengine.

Alafu Poland wenyewe wagomvi by nature. Kwenye kutengeneza mipaka yao ya sasa waliwahi pigana na Ujerumani ya zamani, Ukraine ikawavamia wakaipiga alafu ikakaa mwaka tu ikavamiwa na Urusi ikawaomba msaada na kweli wakaja kuisaidia kupigana na Urusi. So ukianza kuleta chokochoko kwa Poland hawaanzi kutetemeka bali wanajiandaa.

Sina matarajio yoyote kwamba Wagner itaivamia Poland. Na ni speculation yangu kwamba maofisa wa jeshi la Belarus hawaipendi Wagner kama ambavyo wa jeshi la Urusi walikuwa hawaipendi tangu vita ya Syria.
Naona ni kama kujitutumua kwamba tupo hatujapotea. Ila ni Poland wameoverreact kama ile siku missile interceptor ya Ukraine ilivyodondoka kwenye kijiji chao wakaanza kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.
Mataifa mengi ya Ulaya bado yana visasi vya chini kwa chini hasa makovu na usaliti ulioachwa baada ya WW1 na WW2
 
💯🤝
 
Unajua kuna kupigana vita na kupigana vita kistaarabu. Tanzania namna tulivyopigana na Uganda ilikuwa kistaarabu kiasi kwamba hatukuharibu miundombinu yao kimakusudi wala kuua raia wasio na hatia. Ndio maana immediately baada ya vita upendo wetu na kwao ulirudi hutosikia tunasemwa vibaya.
Ujerumani pale WW2 imepigana na majirani ila hawana nongwa nayo sababu haikuwa inapigana kiwendawazimu labda tu operation dhidi ya Wayahudi.

Sasa Urusi inachukiwa sababu ilishavamia au kupigana na majirani wake wengi. Alafu ustaarabu wa vita haina, Urusi yenyewe vita zake za wenyewe kwa wenyewe hawana ustaarabu. Hata wakivamiwa wanafanya mobilization bila ustaarabu sembuse wakienda kwa adui.
Na Urusi haibadiliki mawazo inawaza kuvamia kila miaka michache inapopita wakati kina Ujerumani walishaachana na Fascist ideologies muda sana. Alafu Urusi inalazimisha ujirani kwa nguvu badala ya ushawishi. Mwishowe kila jirani anakaa nayo kimtego.

Japan inachukiwa kihistoria tena sana kuliko Urusi kwa matukio iliyowafanyia majirani ila kwa sasa haina fujo na haina dalili za kurejea ujinga ule. Hii majirani hawana wasiwasi nayo.
 
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha[emoji1431]
Mkuu; Maswali mengi ya nini? Sie Tukae mkao wa kusubiri chuma kilie na mtifuano utamalaki ndipo tutajua ni yupi wa kulia na ni yupi wa kushoto.
Vita hiyo kwa vyovyote vile itakuwa na pande mbili kuu husika zinazotwangana. Hapo tutajua jibu sahihi ni lipi kati ya hizo multiple choices ulotuwekea hapo juu.
 
Unajua kuna kupigana vita na kupigana vita kistaarabu. Tanzania namna tulivyopigana na Uganda ilikuwa kistaarabu kiasi kwamba hatukuharibu miundombinu yao kimakusudi wala kuua raia wasio na hatia. Ndio maana immediately baada ya vita upendo wetu na kwao ulirudi hutosikia tunasemwa vibaya.
Ujerumani pale WW2 imepigana na majirani ila hawana nongwa nayo sababu haikuwa inapigana kiwendawazimu labda tu operation dhidi ya Wayahudi.

Sasa Urusi inachukiwa sababu ilishavamia au kupigana na majirani wake wengi. Alafu ustaarabu wa vita haina, Urusi yenyewe vita zake za wenyewe kwa wenyewe hawana ustaarabu. Hata wakivamiwa wanafanya mobilization bila ustaarabu sembuse wakienda kwa adui.
Na Urusi haibadiliki mawazo inawaza kuvamia kila miaka michache inapopita wakati kina Ujerumani walishaachana na Fascist ideologies muda sana. Alafu Urusi inalazimisha ujirani kwa nguvu badala ya ushawishi. Mwishowe kila jirani anakaa nayo kimtego.

Japan inachukiwa kihistoria tena sana kuliko Urusi kwa matukio iliyowafanyia majirani ila kwa sasa haina fujo na haina dalili za kurejea ujinga ule. Hii majirani hawana wasiwasi nayo.
Yes! Umenena vyema. Inaelekea Mrusi ana mdudu kichwani, mbona hatulii na wala hajifunzi?
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Yaani poland kununua silaha korea,germany na ufaransa ndio aweze kumshinda russia wakati hzo nchi waliomuuzia silaha poland muungano wao wa nato kuingiza mguu ukraine kama walivyoingia libya na iraq wanaogopa kuingia
 
Poland sio hadhi yake kupigana na Wagner, hao Wagner hata jeshi la Belarus linaweza wapiga asubuhi na mapema.

Ni kwamba Poland huwa wanaichukia sana Russia sababu waliwahi pigana nayo na kuishinda, ila kwenye WW2 ikashirikiana na Ujerumani kuwapiga na wakaigawa mara mbili na baada ya miaka miwili Ujerumani na USSR wakapigana na wao. Wakati Ujerumani iliwavamia na kupigana nao, USSR iliua maofisa wa Poland baada ya vita. Wapolish zaidi ya 20,000 hasa wanajeshi wa zamani na maaafisa usalama Stalin aliagiza wauwawe kwenye Katyn massacre. So ni Poland inayojua ubaya wa kuvamiwa na Urusi ndio maana ilikuwa nchi ya kwanza kuisaidia Ukraine kabla ya NATO members wengine.

Alafu Poland wenyewe wagomvi by nature. Kwenye kutengeneza mipaka yao ya sasa waliwahi pigana na Ujerumani ya zamani, Ukraine ikawavamia wakaipiga alafu ikakaa mwaka tu ikavamiwa na Urusi ikawaomba msaada na kweli wakaja kuisaidia kupigana na Urusi. So ukianza kuleta chokochoko kwa Poland hawaanzi kutetemeka bali wanajiandaa.

Sina matarajio yoyote kwamba Wagner itaivamia Poland. Na ni speculation yangu kwamba maofisa wa jeshi la Belarus hawaipendi Wagner kama ambavyo wa jeshi la Urusi walikuwa hawaipendi tangu vita ya Syria.
Naona ni kama kujitutumua kwamba tupo hatujapotea. Ila ni Poland wameoverreact kama ile siku missile interceptor ya Ukraine ilivyodondoka kwenye kijiji chao wakaanza kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.
(kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.") Hayo maneno sio kweli umeongeza chumvi hao poland ndio walikuwa wa kwanza kukataa kuwa yale makombora yametoka urusi wakati nchi nyingine zote walikuwa wanachochea yametoka urusi sasa hyo simu kuomba kuanzisha vita na urusi saa ngapi wakati yy ndio alikuwa anapnga kuwa makombora sio ya urusi
 
Uhakika ni kwamba uvamizi wowote wa Wagner, Belarus au Urusi nchini Poland ni vita itakayopiganwa hadi ndani ya Minsk na Moscow, haitakuwa ndani ya nchi moja tu kama Ukraine. Poland watapiga ndani kabisa ya Belarus na Urusi.
 
Unajua kuna kupigana vita na kupigana vita kistaarabu. Tanzania namna tulivyopigana na Uganda ilikuwa kistaarabu kiasi kwamba hatukuharibu miundombinu yao kimakusudi wala kuua raia wasio na hatia. Ndio maana immediately baada ya vita upendo wetu na kwao ulirudi hutosikia tunasemwa vibaya.
Ujerumani pale WW2 imepigana na majirani ila hawana nongwa nayo sababu haikuwa inapigana kiwendawazimu labda tu operation dhidi ya Wayahudi.

Sasa Urusi inachukiwa sababu ilishavamia au kupigana na majirani wake wengi. Alafu ustaarabu wa vita haina, Urusi yenyewe vita zake za wenyewe kwa wenyewe hawana ustaarabu. Hata wakivamiwa wanafanya mobilization bila ustaarabu sembuse wakienda kwa adui.
Na Urusi haibadiliki mawazo inawaza kuvamia kila miaka michache inapopita wakati kina Ujerumani walishaachana na Fascist ideologies muda sana. Alafu Urusi inalazimisha ujirani kwa nguvu badala ya ushawishi. Mwishowe kila jirani anakaa nayo kimtego.

Japan inachukiwa kihistoria tena sana kuliko Urusi kwa matukio iliyowafanyia majirani ila kwa sasa haina fujo na haina dalili za kurejea ujinga ule. Hii majirani hawana wasiwasi nayo.
Hv russia na nchi za nato +usa ipi inamatukio mengi ya kuvamia nchi nyingine maana hapo unaielezea urusia tu anavamia majirani lakini unajisahaulisha usa alishavamia mexico na akateka majimbo ambayo mpaka leo yanatambulika kuwa sehemu ya usa .
 
Back
Top Bottom