Hahahah😄😄😄😄😄 you guys bhana huwa mnanifurahishaga sana kwa jinsi mnavyojifariji na US yenu ....ila naomba nikuulize hivi Japan au Germany wana Air defence system ya zenye uwezo wa kushinda za Russia???? Yani wewe kwa akili yako unaamini US inaweza kuipiga Russia kirahisi tu kama inavyopigana na akina Sadam na Taliban??..kwamba wanaeeza kudominate Air just like that?? ....hicho kigezo chako cha kusema Russia anashindwa kudominate Air hapo Ukraine unajua kinachoendelea sema huwa mnajitoa ufahamu ili kulinda hoja zenu hivi nani hajui kuwa Russia inapigana proxy war na Nato hapo Ukraine???? A bunch of Countries zinazotoa kila aina ya weapon na bado wameshindwa na silaha zao zinalipuliwa kila siku ...walichoweza ni kuchelewesha tu ushindi..Na isitoshe Russia haijatangaza vita na Ukraine iko kwenye special operation itakapofikia hatua ya kutangaza vita approach haitakua hii unayoiona..