Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

Hv russia na nchi za nato +usa ipi inamatukio mengi ya kuvamia nchi nyingine maana hapo unaielezea urusia tu anavamia majirani lakini unajisahaulisha usa alishavamia mexico na akateka majimbo ambayo mpaka leo yanatambulika kuwa sehemu ya usa .
Mkuu sioni kama ni sahihi kosa moja likahalalisha pia kosa lingine. Mrusi anapigana kishenzi i.e. Hana ustaarabu katika mapigano. Hazingatii wala haheshimu taratibu na kanuni za vita(Vita huwa ina utaratibu na kanuni zake ndo mana waandishi wa habari hawauawi vitani labda kwa bahati mbaya). Mrusi ni kuangamiza, kubomoa, kuua, kusambaratisha, kuharibu, kuteketeza halafu eti mwishoni ndo analeta majeshi ya ardhini Infantriya kuiteka nchi/ardhi/eneo ambalo halitamaniki tena. Je, huo sio uwendawazimu?
Kikawaida vita ni baina ya askari na taaluma yao ya kivita - Kama inavyokuwa kwa mchezo wa mpira yan ni baina ya timu mbili pinzani zilizopo uwanjani. Lakini kwa Mrusi, vita inayopiganwa naye toka zamani haiko hivyo. Anaua hadi mimba!
 
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Uchambuzi wa wasafi et

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hv russia na nchi za nato +usa ipi inamatukio mengi ya kuvamia nchi nyingine maana hapo unaielezea urusia tu anavamia majirani lakini unajisahaulisha usa alishavamia mexico na akateka majimbo ambayo mpaka leo yanatambulika kuwa sehemu ya usa .
Marekani iliwahi mvamia jirani mmoja tu, Mexico. Urusi hii hapa na expansionism dhidi ya majirani kabla ya karne ya 20
20230723_144317.jpg

Kwenye karne ya 20, Russia imevamia nchi hizi majirani Ukraine, Estonia, Belarus, Lithuania, Latvia, Moldova, Armenia, Azerbaijan, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Azerbaijan na Turkmenistan kuunda umoja wa Kisovieti. Kila member wa Soviet Union alivamiwa na Russia kuingia, kasome kuhusu Ukrainian Partisan movements.

Kwenye karne hiyo, Russia imepigana na jirani yake Japan na kupigwa. Ikapigana WW1, ikapigana yenyewe kwenye Bolshevik revolution na October revolution.
Miaka ya 1960s mwishoni USSR ikapigana briefly na China kugombea mipaka.

Marekani imepigana na jirani mmoja tu. Ila kwa Russia labda North Korea ndio jirani hawajawahi pigana nao
 
Kwani Wagner walishaacha kumtafuta PUT IN kule Kremlin?
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha[emoji1431]Kwani Wagner walishaacha kumtafuta
 
(kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.") Hayo maneno sio kweli umeongeza chumvi hao poland ndio walikuwa wa kwanza kukataa kuwa yale makombora yametoka urusi wakati nchi nyingine zote walikuwa wanachochea yametoka urusi sasa hyo simu kuomba kuanzisha vita na urusi saa ngapi wakati yy ndio alikuwa anapnga kuwa makombora sio ya urusi
Poland walikurupuka haraka wakasema ile missile ni ya Urusi, Rais wao ndio alisema its likely ni Russian missile iliua wawili. Biden ndio alikuwa wa kwanza kusema sio Russian missile.
Alafu Zelensky alikuwa anafurahi uko kwake anawajaza upepo kumbe missile yenyewe ni interceptor ya Ukraine imekosea njia.
 
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Hamna kitu Nato choka mbaya kabisa.😂
 
Sidhani kama kweli Urusi n mdhamini mkuu wa wegner, watu wengi wameifahamu hy wegner kwenye vita ya Urusi na Ukraine lkn hy haina maana kwamba wegner yupo chini ya Russia.
Ht ww unaweza kuwachukua hao wegner ili kutimiza jambo lako na unawalipa.
Unataka kutuambia hawa Wegner ni mercenaries?
 
Poland sio hadhi yake kupigana na Wagner, hao Wagner hata jeshi la Belarus linaweza wapiga asubuhi na mapema.

Ni kwamba Poland huwa wanaichukia sana Russia sababu waliwahi pigana nayo na kuishinda, ila kwenye WW2 ikashirikiana na Ujerumani kuwapiga na wakaigawa mara mbili na baada ya miaka miwili Ujerumani na USSR wakapigana na wao. Wakati Ujerumani iliwavamia na kupigana nao, USSR iliua maofisa wa Poland baada ya vita. Wapolish zaidi ya 20,000 hasa wanajeshi wa zamani na maaafisa usalama Stalin aliagiza wauwawe kwenye Katyn massacre. So ni Poland inayojua ubaya wa kuvamiwa na Urusi ndio maana ilikuwa nchi ya kwanza kuisaidia Ukraine kabla ya NATO members wengine.

Alafu Poland wenyewe wagomvi by nature. Kwenye kutengeneza mipaka yao ya sasa waliwahi pigana na Ujerumani ya zamani, Ukraine ikawavamia wakaipiga alafu ikakaa mwaka tu ikavamiwa na Urusi ikawaomba msaada na kweli wakaja kuisaidia kupigana na Urusi. So ukianza kuleta chokochoko kwa Poland hawaanzi kutetemeka bali wanajiandaa.

Sina matarajio yoyote kwamba Wagner itaivamia Poland. Na ni speculation yangu kwamba maofisa wa jeshi la Belarus hawaipendi Wagner kama ambavyo wa jeshi la Urusi walikuwa hawaipendi tangu vita ya Syria.
Naona ni kama kujitutumua kwamba tupo hatujapotea. Ila ni Poland wameoverreact kama ile siku missile interceptor ya Ukraine ilivyodondoka kwenye kijiji chao wakaanza kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.

In a very short words ni kwamba Wagner wakijaribu hili ndio utakuwa mwisho mwa kundi hili- kuna ile kauli ya Bushi dhidi ya alqaida kwamba wasakwe everywhere in a global reach- sasa poland ni allies wa NATO alaf hao wanaingiza pua si ndio wamepata pakutokea
 
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha[emoji1431]
Wagner wakiivamia Poland basi ujue mwisho wa Lukashenko kutawala Belarus na mwisho wa Belarus kuwa chawa wa Urusi.
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Tuorodheshee chache tafadhali; bila kusahau na picha kama zipo Mkuu. 🙏
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Zipi? hizi zinazounguzwa kila siku Ukraine.
 
Marekani iliwahi mvamia jirani mmoja tu, Mexico. Urusi hii hapa na expansionism dhidi ya majirani kabla ya karne ya 20View attachment 2697624

Kwenye karne ya 20, Russia imevamia nchi hizi majirani Ukraine, Estonia, Belarus, Lithuania, Latvia, Moldova, Armenia, Azerbaijan, Georgia, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Azerbaijan na Turkmenistan kuunda umoja wa Kisovieti. Kila member wa Soviet Union alivamiwa na Russia kuingia, kasome kuhusu Ukrainian Partisan movements.

Kwenye karne hiyo, Russia imepigana na jirani yake Japan na kupigwa. Ikapigana WW1, ikapigana yenyewe kwenye Bolshevik revolution na October revolution.
Miaka ya 1960s mwishoni USSR ikapigana briefly na China kugombea mipaka.

Marekani imepigana na jirani mmoja tu. Ila kwa Russia labda North Korea ndio jirani hawajawahi pigana nao
Mkuu unaeleza kwa nguvu uvamizi wa Urusu kwa majirani...lakini unashindwa kabisa kugusia ushetani wa US/NATO pale Iraq, Libya na Syria.
 
Back
Top Bottom