Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,466
- 10,095
Naona ime kutouch mpaka ime sisimua kisim/a uko ulipo Pole dadaNaona mkuu kama Khadija kopa ❤️ vile...!!!
Naona ime kutouch mpaka ime sisimua kisim/a uko ulipo Pole dadaNaona mkuu kama Khadija kopa ❤️ vile...!!!
Vile vyuma baba vile vyuma vinauma km umewahi kufyatua risasi utanielewa 😃sababu vita vya ana kwa ana mlishindwa toka mwanzo..
Yaan kwamba imesesemua nini 😬Naona ime kutouch mpaka ime sisimua kisim/a uko ulipo Pole dada
Nilijua tu we ni Khadija kopa. Ndio maana uliishandwa na wahebeNaona ime kutouch mpaka ime sisimua kisim/a uko ulipo Pole dada
Wabongo mkishashiba michembeKatika mambo napenda yatokee ni kiwa hai,ni VITA ya 3 ya Dunia.
Hawa NATO wanachelewesha ndoto yangu kutimia
Mbona kwenda Belarus hilo sio tatizo la Putin. Lukashenko mwenyewe ndiye aliamua kuwaleta Wagners kwake wanafanya march kwenda Moscow. Kwenye negotiations baina ya Lukashenko na Prigozhin ndipo Luka aliamua waende Belarus kama hawataki kujiunga na jeshi la Urusi kama ambavyo Shoigu alitaka.Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Wabongo hatujui vita ndio maana tukisikia mlio wa risasi tunafata huko huko ili kujua jns panavokuwa.Wabongo mkishashiba michembe
Hizo silaha zote zimeyeyushwa Ukraine na speach ya Putin Jana ameziaelezea kuwa na sifa ya Majina ila UWANJANI ZeroBaada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wananunua silha kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
Umeandika kama mtoto yanPutin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Umejiitaje kanali nahujui haya au wew ni kadinaliWajuvi wanakuja
Nkuba25Mbona kwenda Belarus hilo sio tatizo la Putin. Lukashenko mwenyewe ndiye aliamua kuwaleta Wagners kwake wanafanya march kwenda Moscow. Kwenye negotiations baina ya Lukashenko na Prigozhin ndipo Luka aliamua waende Belarus kama hawataki kujiunga na jeshi la Urusi kama ambavyo Shoigu alitaka.
Nahisi Putin anavuta subra amuondoe Prigozhin bila madhara amuweke mtu mwingine juu ya Wagner ndipo warudi kazini. Au anataka awafute kabisa Urusi wabaki na missions zao Afrika kwenye madini.
Bila Lukashenko kuwapa option ya kwenda kwao na kumpa assurance Prigozhin Wagners wangeendelea kuelekea Moscow wakapigane kwa mbinde na washindwe.
Putin [emoji91][emoji91][emoji91]
Katika mambo napenda yatokee ni kiwa hai,ni VITA ya 3 ya Dunia.
Hawa NATO wanachelewesha ndoto yangu kutimia
ofisi zao ziko wapi? tumechoka kuomba watu waandamaneNi vita dhidi ya wagner, hicho ni kikosi cha jeshi cha kukodiwa hata wewe unaweza kuwakodi ili ukawalipue wale wote wanaotaka kuuza bandari yetu.
Wewe Unajua sana hii mamboPoland sio hadhi yake kupigana na Wagner, hao Wagner hata jeshi la Belarus linaweza wapiga asubuhi na mapema.
Ni kwamba Poland huwa wanaichukia sana Russia sababu waliwahi pigana nayo na kuishinda, ila kwenye WW2 ikashirikiana na Ujerumani kuwapiga na wakaigawa mara mbili na baada ya miaka miwili Ujerumani na USSR wakapigana na wao. Wakati Ujerumani iliwavamia na kupigana nao, USSR iliua maofisa wa Poland baada ya vita. Wapolish zaidi ya 20,000 hasa wanajeshi wa zamani na maaafisa usalama Stalin aliagiza wauwawe kwenye Katyn massacre. So ni Poland inayojua ubaya wa kuvamiwa na Urusi ndio maana ilikuwa nchi ya kwanza kuisaidia Ukraine kabla ya NATO members wengine.
Alafu Poland wenyewe wagomvi by nature. Kwenye kutengeneza mipaka yao ya sasa waliwahi pigana na Ujerumani ya zamani, Ukraine ikawavamia wakaipiga alafu ikakaa mwaka tu ikavamiwa na Urusi ikawaomba msaada na kweli wakaja kuisaidia kupigana na Urusi. So ukianza kuleta chokochoko kwa Poland hawaanzi kutetemeka bali wanajiandaa.
Sina matarajio yoyote kwamba Wagner itaivamia Poland. Na ni speculation yangu kwamba maofisa wa jeshi la Belarus hawaipendi Wagner kama ambavyo wa jeshi la Urusi walikuwa hawaipendi tangu vita ya Syria.
Naona ni kama kujitutumua kwamba tupo hatujapotea. Ila ni Poland wameoverreact kama ile siku missile interceptor ya Ukraine ilivyodondoka kwenye kijiji chao wakaanza kupiga simu kwa viongozi wa NATO waanzishe vita dhidi ya Urusi.
Naona Putin anaichokonoa vita vya pili vya dunia anafikiri Poland ni Ukraine? Nchi za NATO watamchekea kama anavyofanya UkraineWakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.
Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.
Sasa swali langu Ni kwamba:
Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.
1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?
2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?
3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?
Nawasilisha[emoji1431]