Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

Nilijua tu utaishia kutoa povu. Sasa nikupe paper towel ujifute ama vipi?[emoji36] [emoji36] [emoji36]

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Wenzenu tunajifunza humu mambo muhimu halafu nyie mnaleta mapicha picha kama ya mwaka na kigwa.Wabongo ndio maana tuna matatizo kila kukicha hujui nani uamini akiandika.MSIKUE TU MAKALIO NA VIFUA BASI HATA AKILI ZENU ZIONESHE KUKUA NA USTAARABU.
 
Hakuna uhusiano wowote wa wanyatuzu na wanyiramba.
Nimeshakieleza wanyantuzu wapo kwenye sukuma empire. Na ndani ya sukuma empire kindom moja wapo ilikuwa inaitwa ntuzu. Na kiongozi wa kingdom alikuwa anaitwa mtemi.

Baadhi ya kingdoms za sukuma empire ni:
1. Ntuzu
2. Busiya
3. Nindo
4. Salawe
5. Msalala
6. Itilima
7. Busambilo
8. Buhungukila
9. Bulima
10. Bukoli
N.k
Iramba haimo kwenye sukuma empire.
Usisahau na NASSA!!
 
Back
Top Bottom