Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Asante sana kaka kwa hiloNdugu ukitaka kudadisi sana utajikuta kuwa wasukuma halisi ni wale wa mwambao wa ziwa pekee(mwanza), wengine ni kopi na hybrid za wasukuma na makabila mengine baki kabisa.
Asante sana kaka kwa hiloNdugu ukitaka kudadisi sana utajikuta kuwa wasukuma halisi ni wale wa mwambao wa ziwa pekee(mwanza), wengine ni kopi na hybrid za wasukuma na makabila mengine baki kabisa.
Namba 4 ni Basega siyo Baseka1. Badihwa
2. Bakamba
3. Bakwimba
4. Baseka
5. Babinza
6. Bakwaya
7. Bagolo
8. Basambilo
9. Babumba
10. Basiya
11. Bakonongo
12. Basumabu
ni mengino orodha ni ndefu.
Sukuma maana yake kaskazini mwa tabora.Sijakosea swali,
Shinyanga, nimesikia kwa Rafiki yangu Mboje Gasema Ng'wanajirumba Ngusa.Mimi ni Msukuma 110% na sijawahi kamwe kuusikia huo utamaduni.
Ni wa Wasukuma wa wapi labda?
Nimeelewa vizuri sana ndugu yangu na nalijua hilo, swali langu lilikuwa linalenga ni kwa nini wa Sukuma wote wa kanda ya ziwa wanajulikana kama Wasukuma, lakini waNtunzu ndio wanajinasibisha kwa jina hili la Wanyantuzu? Kwa nini wasukuma wa maeneo mengine hawajinasibishi na jina zaidi ya Wasukuma?Sukuma maana yake kaskazini mwa tabora.
Wasukuma ni watu wa kaskazini wanaoongea lugha sawa na watu wa tabora. Eneo lote kaskazini mwa tabora wanaoongea lugha sawa na watu wa tabora ni wasukuma.
Umeelewa?
Sawa samahani.Namba 4 ni Basega siyo Baseka
Ntuzu ni eneo. Wameitwa wanyatuzu kwa sababu wametokea eneo hilo.Nimeelewa vizuri sana ndugu yangu na nalijua hilo, swali langu lilikuwa linalenga ni kwa nini wa Sukuma wote wa kanda ya ziwa wanajulikana kama Wasukuma, lakini waNtunzu ndio wanajinasibisha kwa jina hili la Wanyantuzu? Kwa nini wasukuma wa maeneo mengine hawajinasibishi na jina zaidi ya Wasukuma?
Nini maananya Ntuzu?
Cc: Annael
Ntuzu ni eneo. Wameitwa wanyatuzu kwa sababu wametokea eneo hilo.
Halafu katika sukuma empire hawa watu wa ntuzu walikuwa wakiwa na vita vya mara kwa mara na wamasai.
Isitoshe watu wa ntuzu walikuwa na uwezo mkubwa wa kufanya biashara. Vilevile watu wa kutoka ntuzu wanapenda matani sana na kuzoeana na mtu kwa haraka.
Kwa hiyo inakuwa fahari kusema mimi nimetokea ntuzu kutokana na sifa walizonazo.
Sukuma empire ilikuwa na kigdom nyingi moja wapo hiyo ya tunzu. Lengo la sukuma empire ni kupinga utawala wa mirambo uliokuwa unatumiwa na waarabu.
Hakuna uhusiano wowote wa wanyatuzu na wanyiramba.Una uelewa mpana sana na Kabila hili la Wasukuma, wanyaNtuzu wana uhusiano wowote na Wanyiramba?
Wasukuma wa kukulia Dar na ughaibuni hatujui haya mambo. Asanteni kwa darasa.
Mimi ni Msukuma 110% na sijawahi kamwe kuusikia huo utamaduni.
Ni wa Wasukuma wa wapi labda?
Nyani Ngabu na WENYELE nyinyi ni ndugu msilete ugomvi....Nangi msinila mubugali? ulu chene idukagi mlushomi lo gukaya mleke gubinha ya guhaya banang'weli si?
Hapo jiongelee mwenyewe, kwamba labda ndo hujui.
Lakini usijumuishe na wengine tunaojua kwa sababu kujua si lazima uwe umekulia Usukumani.
Kuna wengine hapa bado mizizi yetu ni mirefu sana huko Usukumani na kila mwaka huwa tunaenda na wakati mwingine tunaenda hata mara mbili au tatu. Juzi tu hapa nimetoka kusafisha kaburi la mzee pamoja na la mama yake [bibi yangu] na la baba yake [babu yangu].
Tupo ambao tunao mapacha kwenye koo zetu, tena kwa pande zote mbili.
Na wengine tupo ambao ni Wasukuma kurudi nyuma vizazi vitatu.
Babu yangu mzaa mama ana miaka 95. Anajua mengi mno kuhusu mila na tamaduni za Kisukuma. Naweza kabisa kusema yeye ni mamlaka ikija kwenye mambo mengi ya Kisukuma.
Huwa napenda sana kuongea naye kuhusu mambo ya zamani. Hili linalosemwa hapa halipo, kwa maana ya kwamba ni ada. Kama lipo, basi lipo kwa watu au familia chache hapa na pale, hususan kwa watu wanaoendekeza imani mbovumbovu.
Mmoja wa wanae na babu yangu, mama yangu mdogo, ana mapacha na maisha yake yote kaishi Usukumani.
Hakuna hata siku moja hao Kulwa na Doto wake walifanyiwa hayo mambo.
Wasukuma ni kabila kubwa linalokalia eneo kubwa sana na ndo maana hadi kuna lahaja ndani ya lugha yake.
Kwetu Ntuzu sijawahi kuona wala kusikia huu upuuzi unaoongelewa hapa.
Upo muda sana huo utamaduni me nimezaliwa nimeukuta ma-bhasana.... Wanafanyia sherehe watoto mapacha.... Shinyanga hata mwanza wapo pia
Sasa BBC wana shida na watu wa huko au watu wa huko ndio wana shida? Kwani yote hayo yanayosemwa ni uongo?Naona BBC wanashida na watu wa huko maana walianza na mauji ya vikongwe, wakaja ndoa za utotoni na sasa hivi wamekuja na hii ya watoto mapacha!
Kilichopo ni nini? Kwamba watoto mapacha ni laana?
Masimbwe lugunga msalala hao watu wapo na mitaa ya huko... Kahama shinyanga and the like ... Lakin wanakuwa kama chama fulani hv.... Wanafanya misherehe hao.... Sisi kwetu hatuhusiki nao kabisa.... Japo mapacha wapo... So concept n kuwa hii issue haihusish watu wote wa usukumani .... Ni kama kakikundi fulan ka watu wanaoamin hvyo..... BBC wamemislead
Hivi vikabila kabila umuhimu wake kwa kiasi kikubwa umekwisha kama alivyojisemea Nyerere.Hapo jiongelee mwenyewe, kwamba labda ndo hujui.
Lakini usijumuishe na wengine tunaojua kwa sababu kujua si lazima uwe umekulia Usukumani.
Kuna wengine hapa bado mizizi yetu ni mirefu sana huko Usukumani na kila mwaka huwa tunaenda na wakati mwingine tunaenda hata mara mbili au tatu. Juzi tu hapa nimetoka kusafisha kaburi la mzee pamoja na la mama yake [bibi yangu] na la baba yake [babu yangu].
Tupo ambao tunao mapacha kwenye koo zetu, tena kwa pande zote mbili.
Na wengine tupo ambao ni Wasukuma kurudi nyuma vizazi vitatu.
Babu yangu mzaa mama ana miaka 95. Anajua mengi mno kuhusu mila na tamaduni za Kisukuma. Naweza kabisa kusema yeye ni mamlaka ikija kwenye mambo mengi ya Kisukuma.
Huwa napenda sana kuongea naye kuhusu mambo ya zamani. Hili linalosemwa hapa halipo, kwa maana ya kwamba ni ada. Kama lipo, basi lipo kwa watu au familia chache hapa na pale, hususan kwa watu wanaoendekeza imani mbovumbovu.
Mmoja wa wanae na babu yangu, mama yangu mdogo, ana mapacha na maisha yake yote kaishi Usukumani.
Hakuna hata siku moja hao Kulwa na Doto wake walifanyiwa hayo mambo.
Wasukuma ni kabila kubwa linalokalia eneo kubwa sana na ndo maana hadi kuna lahaja ndani ya lugha yake.
Kwetu Ntuzu sijawahi kuona wala kusikia huu upuuzi unaoongelewa hapa.
Ewaaa...hapo nakubali kabisa.
Wasukuma ni kabila kubwa mno na linakalia eneo kubwa.
Kuwepo kwa watu kama hao sishangai lakini uwepo wao na hayo matendo yao si utamaduni wa Kisukuma.
Hakuna 'utamaduni wa Kisukuma' kwa sababu Wasukuma hawana utamaduni mmoja tu.