Acha kudanganya hadharani wasukuma wamegawanyika pande kuu nne ikiwemo hiyo ya huko Ntuzu/kiya, hao ni wasukuma kabisaa,Wanyantuzu sio Wasukuma, ni waamiaji tu na walicopy lugha ya Kisukuma ambayo wanaiongea kwa lafudhi tofauti na kisukuma asilia, pamoja na kukopi lugha pia walikopi baadhi ya mila na zingine waliziacha
Mabasa kwa kiswahili mapacha. Yaani mbili. Acha kupotosha watu wewe.Sio jina lake, ile hali ya kutanguliza miguu ndo mabasa yenyewe. Narudia tena sikumaanisha kwamba jina lake ni mabasa ila mabasa ni kile kitendo cha kutanguliza miguu.
Ontuzu! hahaaaaBasi kwetu Ntuzu hatuna hayo mambo.
[emoji109] [emoji109] gwallahDaaaah mkuu umenikumbusha home kabsa,mimi ni mseya pale ikulu ya chief makwaya kidaha pale Ukenyenge negezi.sisi maeneo yetu ukizaa mapacha unachezwa ngoma inayoitwa bhukango,aiseee yaani nyama kwa wingi.
Kwa nini unakimbilia mambo ya kudanganya, na kwa nini udanganywe khasa?Acha kudanganya hadharani wasukuma wamegawanyika pande kuu nne ikiwemo hiyo ya huko Ntuzu/kiya, hao ni wasukuma kabisaa,
Kwa hiyo wewe sio Mnyantuzu?me msukuma halisi wa shinyanga
Ntaandika nkipata mdaKwa nini unakimbilia mambo ya kudanganya, na kwa nini udanganywe khasa?
Hebu tupe elimu basi ya hizo pande nne za Wasukuma, wakiwemo haomWanyantuzu
1. BadihwaTuwekee hiyo orodha kwa uwezo wako kama unaijua, pls
Sawa, unajua shida ya hapa ilipo?, ki ukweli Wasukuma halisi wana Mila nyingi mno, hiyo mila ya mapacha aliyozungumza mtoa mada ipo, ipo ya mtoto kutanguliza matako, miguu, njiti nk.... Ningefurahi kupata mchanganuo wako kakaNtaandika nkipata mda
Usijali mimi ntakupa huo mchanganuo,Sawa, unajua shida ya hapa ilipo?, ki ukweli Wasukuma halisi wana Mila nyingi mno, hiyo mila ya mapacha aliyozungumza mtoa mada ipo, ipo ya mtoto kutanguliza matako, miguu, njiti nk.... Ningefurahi kupata mchanganuo wako kaka
Gi dubhale magotya bhanywana gebhaduzwanje no!!Nyani Ngabu na WENYELE nyinyi ni ndugu msilete ugomvi....Nangi msinila mubugali? ulu chene idukagi mlushomi lo gukaya mleke gubinha ya guhaya banang'weli si?
We ni Mnyantuzu au Msukuma?Usijali mimi ntakupa huo mchanganuo,
Yeeeee ""Higulya gete...higulya zigizigi'''1. Badihwa
2. Bakamba
3. Bakwimba
4. Baseka
5. Babinza
6. Bakwaya
7. Bagolo
8. Basambilo
9. Babumba
10. Basiya
11. Bakonongo
12. Basumabu
ni mengino orodha ni ndefu.
Umekosea kuuliza swali lako, ni sawa na kuuliza kuwa wewe ni mgogo ukimaanisha kuwa wewe ni mtanzania?We ni Mnyantuzu au Msukuma?
Sijakosea swali,Umekosea kuuliza swali lako, ni sawa na kuuliza kuwa wewe ni mgogo ukimaanisha kuwa wewe ni mtanzania?
Haijalishi lakini mimi ni msukuma.
Utamaduni mzuri sana..Katika miaka ya hivi karibuni, uzazi wa watoto mapacha umeonekana kuvutia wengi huku baadhi ya wanandoa wakijaribu kutumia njia za kisasa kuhakikisha wanazaa mapacha. Lakini miongoni mwa jamii ya wasukuma huko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, uzazi wa watoto mapacha unaonekana kama laana, na watoto hao ili wakubalike katika jamii hiyo, ni lazima wazazi wao wawafanyie sherehe maalum ya kuwatakasa kwa kuchinja ng'ombe na kucheza ngoma.
Chanzo: BBC Swahili.
Inawezekana pia...bbc ni taasisi tu inawezekana kukawa na msukuma ameajiriwa pale...vile vile inawezekana wakafanya utafiti wa mila hzo...inawezekana pia ukawa msukuma wa kabila tu ukawa umezaliwa dsm au ulaya na ukakulia huko hujui mila..so possibilities ni nyingi mno...kuwa msukuma pekee haitoshi.Kwa hiyo BBC ya Uingereza inafahamu zaidi mila na desturi za kisukuma kuliko wasukuma wenyewe, siyo?
Ndugu ukitaka kudadisi sana utajikuta kuwa wasukuma halisi ni wale wa mwambao wa ziwa pekee(mwanza), wengine ni kopi na hybrid za wasukuma na makabila mengine baki kabisa.Sijakosea swali,