Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

Wanyantuzu sio Wasukuma, ni waamiaji tu na walicopy lugha ya Kisukuma ambayo wanaiongea kwa lafudhi tofauti na kisukuma asilia, pamoja na kukopi lugha pia walikopi baadhi ya mila na zingine waliziacha
Acha kudanganya hadharani wasukuma wamegawanyika pande kuu nne ikiwemo hiyo ya huko Ntuzu/kiya, hao ni wasukuma kabisaa,
 
Sio jina lake, ile hali ya kutanguliza miguu ndo mabasa yenyewe. Narudia tena sikumaanisha kwamba jina lake ni mabasa ila mabasa ni kile kitendo cha kutanguliza miguu.
Mabasa kwa kiswahili mapacha. Yaani mbili. Acha kupotosha watu wewe.
 
Daaaah mkuu umenikumbusha home kabsa,mimi ni mseya pale ikulu ya chief makwaya kidaha pale Ukenyenge negezi.sisi maeneo yetu ukizaa mapacha unachezwa ngoma inayoitwa bhukango,aiseee yaani nyama kwa wingi.
gwallah
 
Acha kudanganya hadharani wasukuma wamegawanyika pande kuu nne ikiwemo hiyo ya huko Ntuzu/kiya, hao ni wasukuma kabisaa,
Kwa nini unakimbilia mambo ya kudanganya, na kwa nini udanganywe khasa?

Hebu tupe elimu basi ya hizo pande nne za Wasukuma, wakiwemo haomWanyantuzu
 
Kwa nini unakimbilia mambo ya kudanganya, na kwa nini udanganywe khasa?

Hebu tupe elimu basi ya hizo pande nne za Wasukuma, wakiwemo haomWanyantuzu
Ntaandika nkipata mda
 
Tuwekee hiyo orodha kwa uwezo wako kama unaijua, pls
1. Badihwa
2. Bakamba
3. Bakwimba
4. Baseka
5. Babinza
6. Bakwaya
7. Bagolo
8. Basambilo
9. Babumba
10. Basiya
11. Bakonongo
12. Basumabu
ni mengino orodha ni ndefu.
 
Ntaandika nkipata mda
Sawa, unajua shida ya hapa ilipo?, ki ukweli Wasukuma halisi wana Mila nyingi mno, hiyo mila ya mapacha aliyozungumza mtoa mada ipo, ipo ya mtoto kutanguliza matako, miguu, njiti nk.... Ningefurahi kupata mchanganuo wako kaka
 
Usijali mimi ntakupa huo mchanganuo,
 
1. Badihwa
2. Bakamba
3. Bakwimba
4. Baseka
5. Babinza
6. Bakwaya
7. Bagolo
8. Basambilo
9. Babumba
10. Basiya
11. Bakonongo
12. Basumabu
ni mengino orodha ni ndefu.
Yeeeee ""Higulya gete...higulya zigizigi'''
 
Katika miaka ya hivi karibuni, uzazi wa watoto mapacha umeonekana kuvutia wengi huku baadhi ya wanandoa wakijaribu kutumia njia za kisasa kuhakikisha wanazaa mapacha. Lakini miongoni mwa jamii ya wasukuma huko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, uzazi wa watoto mapacha unaonekana kama laana, na watoto hao ili wakubalike katika jamii hiyo, ni lazima wazazi wao wawafanyie sherehe maalum ya kuwatakasa kwa kuchinja ng'ombe na kucheza ngoma.

Chanzo: BBC Swahili.
Utamaduni mzuri sana..
 
Kwa hiyo BBC ya Uingereza inafahamu zaidi mila na desturi za kisukuma kuliko wasukuma wenyewe, siyo?
Inawezekana pia...bbc ni taasisi tu inawezekana kukawa na msukuma ameajiriwa pale...vile vile inawezekana wakafanya utafiti wa mila hzo...inawezekana pia ukawa msukuma wa kabila tu ukawa umezaliwa dsm au ulaya na ukakulia huko hujui mila..so possibilities ni nyingi mno...kuwa msukuma pekee haitoshi.
 
Back
Top Bottom