Wasukuma mnatoa wapi hizi nguo?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,353
Mtu na akili zako unatoa wapi ujasiri wa kuvaa nguo kama hii??
IMG_20200928_211332.jpg
 
Wasukuma si ndo taifa kubwa ama hulijui hilo!!,kwanza wewe ni mrugulu ama muhehe /wewe ni kabila gani ndugu unipe mke nikupe ng'ombe wa kutosha?
 
Hahahaa hii sura sio ngeni machoni pangu. Kipindi nikiwa chuo kikuu cha Dar es Salaam (idara ya uchumi, 2011-2016) nilikuwa namuona sana idara ya hesabu jirani kabisa na jengo la UCC, nafikiri alikuwa anafundisha pale.
 
Back
Top Bottom