Wasukuma mnatoa wapi hizi nguo?

Wasukuma mnatoa wapi hizi nguo?

Hata wewe nguo hizo ulizovaa hapo kuna mtu anakushangaa
 
Mwoga kinoma
FB_IMG_1599070131067.jpg
 
Wasukuma si ndo taifa kubwa ama hulijui hilo!!,kwanza wewe ni mrugulu ama muhehe /wewe ni kabila gani ndugu unipe mke nikupe ng'ombe wa kutosha?
Unaonaje we utupe mke tukupe tenga mbili za maembe, moja la maboga na gunia la magimbi.
 
Unaonaje we utupe mke tukupe tenga mbili za maembe, moja la maboga na gunia la magimbi.
Wewe leta ng'ombe bana,maembe ya nini wewe mwanangu.
Angalau ungesema gunia la mahindi labda lakini sio maembe.
 
Back
Top Bottom